Mgahawa ulio chini ya bahari

Mgahawa ulio chini ya bahari

Weee! Taratibu. Nitakutumia vijana wa tindikali, lara 1 sio wa kupewa "kiofa" usimshushe mtarajiwa wangu hadhi!

ha ha ha ha.... kwa mwendo wa tindikali inabidi nikuachie. lara 1 mwenyewe sijui analea?! manake mara umsikie mara apotee, mara arudi tena. una hakika yupo single kweli huyu? siku hizi fumanizi zote uwaga zinatoka magazetini mtu wangu. be careful.
 
Hahahahahaa looh!
 
usafiri gani unatumika kufika huko?
 
Wow!
A must visit place before you die
 
mmh!!! huku hata univute na kamba sithubutu kuingia....

kashesho na Asnam, nimefikiria kipuuzi tu, nini kitatokea endapo hicho kioo cha juu cha mgahawa huo kitatoboka kwa sababu zozote zile na kuanza kuingiza maji ndani, yale yaliyoikumba MV Bukoba au boat ya Spice Islanders yanaweza kuwakuta na ninyi pia? Lol. naungana na ninyi nami hata kwa dawa siingii!
 
Ha ha ha some risks are worth taking in life ..It looks wonderful kwa kweli lakini ni kama unajitafutia kifo kama unajiona maana hapo likitokea lolote ni guaratee hutoki mzima utakuwa chakula cha samaki....
 
Back
Top Bottom