Mfute mwenza wako baada ya kumaliza

Mfute mwenza wako baada ya kumaliza

Ah jamani…kwani si sote tunakuwa tumechafuka…
Mkuu,
Siku hizi washrooms zipo ndani tu, mambo ya kufutana na vitambaa ndio mnaishia kuchukua mbegu zetu kutuloga.

Mkimaliza chap washroom kuoga kabisa, sie wanaume ni muhimu ili kukojoa kabisa, kama kuna vijidudu vitatolewa na mkojo.

We useme labda watu wanyoane zivu, its very romantic kunyoa kipapa.
 
mimi nimefundishwa hivo wewe wa kisasa fuyia tu tissue sion hasara kufua shahawa za hubby as long as ni raha zetu pamoja kila nmoja ako na choice yako you know of course kanga unaikunja vizuri sana ulijua ni kanga ya aina gani tatizo mnadakia mambo hamuulizi inakuaje unadhani unaitandika kama shuka?
Haya kila jema,so kila siku anakumwagia kifo cha mende?mana ndio stail pekee hiyo kanga itafanya kazi yake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom