Kambi ya Fisi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,556
- 22,087
Hii inawahusu wanaume wote waliooa ila wapo slow sana katika kuwafurahisha wake zao....
Unapokuwa na mkeo acha kukunja uso kama unakunywa alovera bali mpe tabasamu kama vile ndo mmeanza kuchumbiana. Mwite honey wako(ama jina lolote zuri) .
Mie ninapozungumza na mke wangu , ninamwitaga - Asali wangu. Na hivyo ndivyo nilivyohifadhi jina lake kwenye simu yangu.
Mpeleke mke wako out kwa chakula cha jioni angalau mara moja kwa wiki.
Mvalishe kama yeye ndiye mrembo mkuu wa nyakati zote.
Lipia gharama zake za saluni kwa tabasamu pasipo lawama.
Umewahi nafanya kazi ili upate kwa ajili ya nani?
Ikiwa unatumia pesa zako na marafiki zako tu au na wale wanaokutumia vibaya utakuwa haupo sawa . Tambua wale wanaokutumia vibaya hawatoi chochote kwa ajili yako - wanatafuta tu kuchukua hela yako na kukugombanisha na mkeo.
Mnapokuwa faragha usiache kumsifu mkeo, pia mkiwa hadharani msifie.
Mtumie meseji tamu kila siku.
Tafuta kuinua roho yake kila dakika. Na nishati chanya ambayo unampa itarudi kwako.
Kama inavyosemwa mara nyingi, ‘Mke mwenye furaha, huwa na maisha yenye furaha.’ Mke wako anapokuwa na furaha, familia nzima huwa na furaha. Mke mwenye furaha, nyumba yenye furaha. Mke mwenye furaha ni siri ya mwanamume kwa maisha ya furaha.
Ubarikiwe.