Mfuniko wa jaba kubwa...

Mfuniko wa jaba kubwa...

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
10,905
Reaction score
18,871
Niliacha mfuniko wa jaba kubwa nje wakati nakinga maji ya mvua. Nao ukakinga maji, kutoa, imetoka ndoo kubwa na robo. Kama lita 25 hivi.

I thought you should know😊

IMG_20220307_082018_848.jpg
 
Naogopa kuchangia nisije kuonekana sijaelewa kitu.kweli jaba Hilo nalijua NI Karibu lita 120 ila Sasa huo mfuniko na wenyewe unafanana na zaga kandude.nadhani subiri waje kukupa mwongozo
Umeelewa sahihi. Jaba kubwa ni lita 160. mfuniko wake 25.
 
Hahaaa, live
Kuna kipindi nilikuwa nipo sehemu full uraru, basi day one nikachukua ufuniko wa kisado...nikaugeuza kwa ndani... kucheki vizuri naiona mbunye kabisa! Bado kidogo niupigie nyeto!!
 
Back
Top Bottom