Unachokataa nini?watu wanapata hadi milioni 60 kwa safari moja,,,sasa ndy ujuwe hata wewe unaweza kushawishika
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenzetu kila kitu ni kwa malengo, sisi huku tunaiga tuu.
Wewe unayekula RUSHWA ,,,na WEWE UNAYEKULA MALI YA UMMA JE ?ndy unafanya vizuri?Africa watu wa ajabu sn,,wakati wazungu wakiwapuuza wauza madawa ,,wao Africa ndy wanaona kipaumbele kuwafunga wauza madawa miaka mingi gerezani..ajabu saana,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakula rushwa wapi bro, unayajua maisha yangu jombaa?Wewe unayekula RUSHWA ,,,na WEWE UNAYEKULA MALI YA UMMA JE ?ndy unafanya vizuri?Africa watu wa ajabu sn,,wakati wazungu wakiwapuuza wauza madawa ,,wao Africa ndy wanaona kipaumbele kuwafunga wauza madawa miaka mingi gerezani..ajabu saana,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Jeuri yote sababu KIGENGE CHAKO kinamauzo faida kwa siku 6000...hongera MKUU
Sent using Jamii Forums mobile app
Kanaishi tabata chama, usisita duuh bro mwingi,Huyo bint kama sikosei kanakaa tbt
Kwani wakati anafanya hakujua kama iko siku atanasa
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Mwenyewe u unatuambia unaweza kupata hadi mil 60 kwa safari moja huku mwenyewe ukikataa hiyo sio shortcut.
Sasa shortcut ni ipi mkuu?
So mnataka mpuuzwe? Wazungu wanawapuuza tu kumbe?
Kwa hiyo sasa hivi Amsterdam na kwingine kwa wazungu mnajipitia tu na mangada yenu hakuna mzungu anatime na nyinyi?
Duh unanidhawishi na uzee huu nitumbukie na mie nikapuuzwe na wazungu
So mnataka mpuuzwe? Wazungu wanawapuuza tu kumbe?
Kwa hiyo sasa hivi Amsterdam na kwingine kwa wazungu mnajipitia tu na mangada yenu hakuna mzungu anatime na nyinyi?
Duh unanidhawishi na uzee huu nitumbukie na mie nikapuuzwe na wazungu
Siku SHERIA zikifata mkondo wake Hata walarushwa wahukumiwe kama watu wa madawa,,ndy utaacha kuongea MAVINakula rushwa wapi bro, unayajua maisha yangu jombaa?
Yeyote anayejishughulisha na madawa ya kulevya anatakiwa anyongwe.
Mbeba madawa yeyote awe tajiri au masikini inatakiwa afungwe maisha au anyongwe kabisa, Siku ndugu au rafiki yako wa karibu akivurugwa na haya madude utaelewa kwanini hao punda wanapigwa vita.
hawa vijana wa kibongo ni wameweka tamaa mbele wasichokijua ni kuwa wanafanya wanapush hiyo mizigo katika mifumo dhaifu mno,sio kama nchi zingine huko ambako hao madrug lord wana serikali zao na mikono yao ni mirefu,kama itatokea unakamatwa na mzigo basi ni vita kubwa na serikali.
Sasa huku bongo drug lord mwenyewe humjui,na yeye kajificha kwenye kivuli cha siasa,ukikamatwa na akiona anaelekea kumtaja anafilkilia kukumaliza huko huko jela ulipo sasa kuna kazi tena hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio vijana wa kisasa,shortcuts kutaka maisha mazuli ndio kuna kowaponza kwa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Muuza ngada ni muuaji wa halaiki na adhabu yake inapaswa kua kifungo cha maisha, mtu anayetetea muuaji hua anashangaza sana.Nani asiyetaka maisha mazuri ? , acheni hizo bhana , Wengi ni vile mmekosa connection tu Ndio maana mnaishia kusema hivyo , ila kama mngezipata hyo vocabulary isingekua mdomon mwako
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwenye mambo ya kijinga mnakimbilia MUAFRICA, nani kwenye dunia hii anayesapoti madawa ya kulevya? Unaijua athari ya madawa ya kulevya wewe, una mpendwa wako yoyote ameathirika na madawa ya kulevya?Hizo ndy akili za MUAFRICA...kumuacha anayeathiri taifa zima ,,na Ku deal na watu mmoja mmoja....unajuwa MLA RUSHWA ANAATHIRI WATU WNGP?ndy maana China ADHABU NI MOJA,,RUSHWA NA.MDAWA YOTE MIAKA 30 JELA
Sent using Jamii Forums mobile app
Muuza ngada ni muuaji wa halaiki na adhabu yake inapaswa kua kifungo cha maisha, mtu anayetetea muuaji hua anashangaza sana.
wewe nawe bure kabisa,yani connection ya kuwa punda,njoo mtaani kwangu nkupe hiyo conection uende kama kwako ni deal.
Kumbe kuna watu uelewa ni mdogo kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app