Mfungwa kunyolewa nywele.

We P vipi bro? Hukumu ya Ijumaa si Ina rufaa? Wamemnyoa TL haraka hivyo? Je, kama TL akikata rufaa hasikilizwi kwanza?
 
We P vipi bro? Hukumu ya Ijumaa si Ina rufaa? Wamemnyoa TL haraka hivyo? Je, kama TL akikata rufaa hasikilizwi kwanza?
Tanzania ukihukumiwa kifungo, hukumu hiyon inaanza kutekelezwa siku hiyo hiyo!, Lissu aliondoka Ukonga akiwa Mahabusu, aliporudi ni mfungwa, anapolelewa kama mfungwa. Utekelezaji wa hukumu hausubiri rufaa!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…