Mfungo na adha zake

Mfungo na adha zake

Septem

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2018
Posts
313
Reaction score
404
Kwanza natanguliza wazi mimi ni Muislam wa kuzaliwa na kuamini. Pia sina lengo la kukashifu dini yoyote au imani ya mtu. Bali najaribu kuelezea mambo yanayojili katika mwezi huu wa Ramadhani ambayo , kisheria na kiustaarab hayako sawa kabisa.

Nitaelezea jambo moja. Wenyewe tumezoea kuliita kupiga daku. Hizi ni ngoma wazozunguka vijana kupiga katikaajumba kwa lengo 'sijui ni lipi'. Nasema sijui ni lipi.

Kipindi cha nyuma ilikua zaidi wanazunga majumbani usiku kuamsha watu kula chakula cha usiku mkubwa(daku). Hivyo mantiki yake ilikua ni kuamsha watu, na walioamshwa waliwapa senti kidogo kama sadaka.

Kutokana na mabadiliko ya kiteknolojia-Siku hizi kuna alarms, pia suala la usalama kuwa dogo maeneo mengi hawa wamaepungua kufanya shughuli hii.

Lakini kupiga mchana sijui hasa mantiki yake ni nini.

Kilichonisukuma kuandika uzi huu ni hiki.

Leo mida ya mchana nilikua dinning, na bi mkubwa(mwenye shida ya pressure), na baadhi ya family members. Ghafla tukasikia ngoma zinapigwa ndani kwa nguvu wakiimba. Waliimba na kupiga ngoma kwa muda wa dakika takribani kumi. Finally nikatoka na kuanza kuwaeleza kuwa wanakosea, wakaanza kulalamika kuwa siwafanyii vyema, niwape sadaka waondoke. Sikuwapa hata sh moja, wakaendelea kupiga ngoma kwa takribani dakika 20, walipochoka wakaondoka.

Hii ni tabia kwa watu waliokulia mazingira ya mikoa ya kiislamu ni common sana.

Ni mazoea sana, ni tabia za kawaida. Lakini kiundani zina athari sana. Na inapashwa ikemewe sana.

1. Kuingia nyumba ya mtu bila kuruhusiwa hiyo ni trespassing na ni kosa kisheria, ukimkuta mtu aliye 'pinda', hawa vijana watalala 'ubaoni'.

2. Ni mwanzo na dalili za wizi.

3. Inaweza kuwa ni uchoraji wa mazingira ya ujambazi. Mchana daku usiku wanarudi ujambazi.

4. Inaweza sababisha mauaji. Mfano hawajui ni nani yumo ndani na ana maradhi gani, sauti za ghafla zinaweza kuleta mauti.

5. Si kila nyumba ni waislam, na hata kama ni waislamu si wote wanataka 'kelele' hizo.

Ndugu zangu waislam(hasa), tukemee suala hili na tuache kulilea, tunatengeza vibaka, na kulemaza kuacha kufanya kazi kutegemea kupewa 'sadaka'.
 
Huwataki wafukuze,shida iko wapi":
 
Elewa hoja yangu. Vijana kuvamia miji ya watu na kuanza kupiga ngoma bila ruhusa.
Umetoa hoja pia kwamba zamani mantiki ya hao vijana ilikuwa kuwaamsha watu waliolala wale daku. Siku hizi kuna alarm. Watu hawahitaji kuamshwa.

Nikakuuliza, muazzin naye anaamsha watu waliolala wakaswali. Kwa kuwa kuna alarm siku hizi, tuache kufanya azzana?

Hujajibu.
 
MTOA MADA NIKUSAIDIE KITU
1. Kwa maeneo mengi mfano kwa jiji la Dar es salaam hilo suala la watu kupita kuamsha daku na kanda ya Pwani sio kitu kigeni na wala hawavamii nyumba za watu kama unavyojaribu kupotosha.
2.Tabia ya wizi ni tabia ya mtu mwenyewe sio mpaka watu wakusanyike waamshe daku wizi ndo utokee. Panya road wale walikuwa ni waamsha daku?
3.Wale wapitaji wanapita zao njiani na kama wamepita katika eneo lako ukaona wanakupigia kelele kama unavyodai toka nje ongea nao kistaarabu halafu wataondoka na pia hujalazimishwa au kuandikwa katika maandiko ya kiislam kwamba lazima uwape hiyo pesa. Ukijisikia kuwapa ni utashi wako na usipojisikia kuwapa ni utashi wako vilevile.
 
Umetoa hoja pia kwamba zamani mantiki ya hao vijana ilikuwa kuwaamsha watu waliolala wale daku. Siku hizi kuna alarm. Watu hawahitaji kuamshwa.

Nikakuuliza, muazzin naye anaamsha watu waliolala wakaswali. Kwa kuwa kuna alarm siku hizi, tuache kufanya azzana?

Hujajibu.
Adhan ni sehemu ya ibada. Na ndio maana ibada haikamiliki bila Adhan. Hivyo hata kama watu wanayo Alarm, adhan still ni lazima. Kuondoa Adhan, ni kuvunja ibada.
 
Ninakumbuka ngoma za kula daku tulipokuwa wadogo huku kwetu Kwamtogole zilipigwa baada ya insha, kuna mama mmoja alikuwa mnene sana.
Watoto wa kula daku wamekwenda kwake wakaanza kuimba “ mke mnene sioi mke mnene sioi bwana. Akilala kitandani kama gunia la nazi bwana.” Aliwafukuza tena akiwaonyesha hela aliyopanga kuwapa.
 
Adhan ni sehemu ya ibada. Na ndio maana ibada haikamiliki bila Adhan. Hivyo hata kama watu wanayo Alarm, adhan still ni lazima. Kuondoa Adhan, ni kuvunja ibada.
Sasa si waweke adhana kwenye alarm halafu iwafikie wale wanaotaka tu, wanaoona usumbufu wasiipate.

Mbina Quran yenyewe imeandika dini hailazimishwi?

Unakataa kusumbuliwa na wapiga daku kwa sababu una alarm, halafu unakubali wengine wasumbuliwe na adhana?

Mbina una double standard hivyo?
 
Ninakumbuka ngoma za kula daku tulipokuwa wadogo huku kwetu Kwamtogole zilipigwa baada ya insha, kuna mama mmoja alikuwa mnene sana.
Watoto wa kula damu wamekwenda kwake wakaanza kuimba “ mke mnene sioi mke mnene sioi bwana. Akilala kitandani kama gunia la nazi bwana.” Aliwafukuza tena akiwaonyesha hela aliyopanga kuwapa.
Hahaha. Hao watoto wahuni tu.

Sie kwetu walikuwa wanakuja wanaimba kiarabu.

Kitu pekee nikichokuwa nasikia ni "abdirililahi sheitwaani ramiii"

It was fun though.
 
Ha ha ha nmekumbuka those days mnajumuika na watoto wa kiislam wenzetu mtaan tunapiga kula daku ili tupate hela ya kwenda kutembea siku ya sikukuu.
 
Back
Top Bottom