mkali kwanza
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 1,301
- 1,186
mbona makanisa hayajawekewa bell proof katika kengele?Mm nafikiri wangeweka sound proof msikitini ili sauti isisikike, pia swala la hao wapiga ngoma huku kwetu wamewekeana mipaka, ukiingia kwy mipaka ya mtu mwingine ni vita.
