Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Mkulu kwenye salaam za mwaka mpya alisema mfumuko wa bei umeshuka kufikia 6.2% na tayari makampuni yanayopandisha mishahara kwa kutegemea mfumuko wa bei wameishaanza kuwaongeza wafanyakazi mishahara kwa kiwango hicho,sasa mbona hii picha inapingana na maelezo ya mkulu wa kaya?
Mkulu kwenye salaam za mwaka mpya alisema mfumuko wa bei umeshuka kufikia 6.2% na tayari makampuni yanayopandisha mishahara kwa kutegemea mfumuko wa bei wameishaanza kuwaongeza wafanyakazi mishahara kwa kiwango hicho,sasa mbona hii picha inapingana na maelezo ya mkulu wa kaya?
Niwaombe wataalamu wa uchumi waje watujuze,nini maana ya uchumi kukua,nani ananufaika na uchumi kukua?takwimu za mkuu zinatokana na uchumi mkubwa ambao hautoi picha ya maisha ya mwananchi mmoja mmoja
Mfumuko Wa Bei Mwezi HuuNiwaombe wataalamu wa uchumi waje watujuze,nini maana ya uchumi kukua,nani ananufaika na uchumi kukua?
Mimi nisiyejua mambo ya kitaalam kuhusu uchumi naweza kusema afadhari uchumi wa nchi usikue ili
maisha ya raia wa kawaida yawe mazuri,kama tulivyokuwa zamani.
Mkuu nakuelewa na hakuna bidhaa hata moja iliyoshuka bali zinapanda,ila nauliza hayo makaratasi nani anamwandalia?Alisoma chuo kipi? Je ni kweli nchi zote duniani zenye uchumi mzuri maisha ni magumu kama hapa kwetu bongo?Huy mkuu wa kaya anaongelea masuala ya kwenye makaratasi tu lakini reality hakuna kushuka kwa mfuko wal nini, kama mfumuko umeshuka we unahisi ni bidhaa gani angalau imeshuka kwa kiasi kadhaa!?
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaah, ashawahi kuulizwa mbona kuwa kwa nini nchi yako ni masikini, akajibu hata yeye hajui, sasa hapo mkuu kuna nini ten!?Mkuu nakuelewa na hakuna bidhaa hata moja iliyoshuka bali zinapanda,ila nauliza hayo makaratasi nani anamwandalia?Alisoma chuo kipi? Je ni kweli nchi zote duniani zenye uchumi mzuri maisha ni magumu kama hapa kwetu bongo?