Mfumuko wa bei wazidi kupungua kwa mwezi November 2018.

Vipi petrol na diesel navyo vimepungua Bei au vyenyewe havitumuki kubainisha mfumuko wa Bei?
Hela ya chakula uliyosave utaitumia kununulia petroli...wewe ulisomea sanaa nini?
 
Hapo mfumuko haujapungua bali umeongezeka sema kasi ya kuongezeka imepungua.

Mfumuko ulikuwa 3.2 na sasa 3.

Inamaana still vitu vimepanda bei kwa asilimia 3.

Nimeelewa hivyo.
 
Mfumuko wa bei ulishafikia karibu asilimia 7 mwaka 2014/15.
 
Ila still unaongezeka usiseme umeshuka.

Hebu chukulia mfano.

Mwezi wa kwanza una deni 100
Mwezi wa pili una deni 200
Mwezi wa tatu una deni 250

Toka mwezi wa kwanza kwenda mwezi wa pili tutasema deni lako liliongezeka asilimia 100

Toka mwezi wa pili kwenda wa tatu tutasema deni limeongezeka kwa asilimia 25

Hivyo kwa tafsiri yako utasema deni limeshuka? Hapana halijashuka sema tu ongezeko ni dogo toka mwezi uliopita.

So mfumuko wa bei umeongezeka ila uongezekaji wake umepungua.
 
Mfumuko wa bei ni jambo ambalo litakuwepo siku zote kinachotazamwa ni kwa kasi gani unaongezeka au kupungua.Kwa mwezi wa 11 umepungua.
 
Kwa mujibu wa NBS mfumuko wa bei kwa mwezi November umeshuka kutoka 3.2% hadi asilimia 3.
Rubbish! Angalia mafuta Nov........ by Figanniga
EWURA, yatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini - JamiiForums
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini.

Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 7 Novemba 2018. Pamoja na kutambua bei kikomo za bidhaa mbalimbali za petroli nchi nzima, ni muhimu kuzingatia
yafuatayo:-

(a) Bei za jumla na rejareja kwa mafuta ya aina zote (Petroli, Dizeli na Mafuta ya Taa)
yaliyoingizwa nchini kupitia bandari ya Dar es Salaam, zimeongezeka ikilinganishwa na toleo
lililopita la tarehe 3 Oktoba 2018. Kwa mwezi Novemba 2018, bei za rejareja za Petroli, Dizeli
na Mafuta ya Taa zimeongezeka kwa Shilingi 29/lita (sawa na asilimia 1.22), Shilingi 81/lita
(sawa na asilimia 3.52) na Shilingi 34/lita (sawa na asilimia 1.50), mtawalia. Vilevile, kwa
kulinganisha na toleo la mwezi uliopita, bei za jumla za Petroli, Dizeli na Mafuta ya Taa
zimeongezeka kwa Shilingi 28.74/lita (sawa na asilimia 1.28), Shilingi 80.90/lita (sawa na
asilimia 3.71) na Shilingi 33.58/lita (sawa na asilimia 1.58), mtawalia. Kwa kiasi kikubwa,
ongezeko la bei za mafuta ya Petroli, Dizeli na Mafuta ya Taa kwenye soko la ndani limetokana
na ongezeko la bei za mafuta hayo katika soko la dunia na kuongezeka kwa gharama za
usafirishaji wa mafuta (BPS Premium).

(b) Vilevile, bei za jumla na rejareja kwa mafuta ya Petroli na Dizeli yaliyoingizwa nchini kupitia bandari ya Tanga zimeongezeka ikilinganishwa na toleo lililopita la tarehe 3 Oktoba 2018. Bei
za Mafuta ya Taa katika ghala la mafuta mkoani Tanga hazijabadilika kwa sababu hakuna shehena mpya ya Mafuta ya Taa iliyoingizwa nchini kupitia bandari ya Tanga katika mwezi wa Oktoba 2018. Katika toleo hili, bei za rejareja za Petroli na Dizeli kwa Mikoa ya Kaskazini
zimeongezeka kwa Shilingi 87/lita (sawa na asilimia 3.72) na Shilingi 111/lita (sawa na asilimia 4.89), mtawalia. Aidha, kwa kulinganisha na toleo la mwezi uliopita, bei za jumla za Petroli na Dizeli zimeongezeka kwa Shilingi 87.18/lita (sawa na asilimia 3.92) na Shilingi 110.58/lita (sawa na asilimia 5.15), mtawalia. Ongezeko hili la bei za mafuta katika ghala la mkoani Tanga limetokana na ongezeko la bei za mafuta hayo katika soko la dunia na kuongezeka kwa gharama
za usafirishaji wa mafuta (BPS Premiums).

(
 
Mfumuko wa bei ni jambo ambalo litakuwepo siku zote kinachotazamwa ni kwa kasi gani unaongezeka au kupungua.Kwa mwezi wa 11 umepungua.
Si kweli hela yetu ikipanda thamani na mfumuko nao utashuka.

Mfano kesho unaamka dola 1 ni tsh 1000 unafikiri TV ya dola 300 utainunua tena laki 7 ama laki 3?
 
Rubbish! Angalia mafuta Nov........ by Figanniga
EWURA, yatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini - JamiiForums
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini.

Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 7 Novemba 2018. Pamoja na kutambua bei kikomo za bidhaa mbalimbali za petroli nchi nzima, ni muhimu kuzingatia
yafuatayo:-

(a) Bei za jumla na rejareja kwa mafuta ya aina zote (Petroli, Dizeli na Mafuta ya Taa)
yaliyoingizwa nchini kupitia bandari ya Dar es Salaam, zimeongezeka ikilinganishwa na toleo
lililopita la tarehe 3 Oktoba 2018. Kwa mwezi Novemba 2018, bei za rejareja za Petroli, Dizeli
na Mafuta ya Taa zimeongezeka kwa Shilingi 29/lita (sawa na asilimia 1.22), Shilingi 81/lita
(sawa na asilimia 3.52) na Shilingi 34/lita (sawa na asilimia 1.50), mtawalia. Vilevile, kwa
kulinganisha na toleo la mwezi uliopita, bei za jumla za Petroli, Dizeli na Mafuta ya Taa
zimeongezeka kwa Shilingi 28.74/lita (sawa na asilimia 1.28), Shilingi 80.90/lita (sawa na
asilimia 3.71) na Shilingi 33.58/lita (sawa na asilimia 1.58), mtawalia. Kwa kiasi kikubwa,
ongezeko la bei za mafuta ya Petroli, Dizeli na Mafuta ya Taa kwenye soko la ndani limetokana
na ongezeko la bei za mafuta hayo katika soko la dunia na kuongezeka kwa gharama za
usafirishaji wa mafuta (BPS Premium).

(b) Vilevile, bei za jumla na rejareja kwa mafuta ya Petroli na Dizeli yaliyoingizwa nchini kupitia bandari ya Tanga zimeongezeka ikilinganishwa na toleo lililopita la tarehe 3 Oktoba 2018. Bei
za Mafuta ya Taa katika ghala la mafuta mkoani Tanga hazijabadilika kwa sababu hakuna shehena mpya ya Mafuta ya Taa iliyoingizwa nchini kupitia bandari ya Tanga katika mwezi wa Oktoba 2018. Katika toleo hili, bei za rejareja za Petroli na Dizeli kwa Mikoa ya Kaskazini
zimeongezeka kwa Shilingi 87/lita (sawa na asilimia 3.72) na Shilingi 111/lita (sawa na asilimia 4.89), mtawalia. Aidha, kwa kulinganisha na toleo la mwezi uliopita, bei za jumla za Petroli na Dizeli zimeongezeka kwa Shilingi 87.18/lita (sawa na asilimia 3.92) na Shilingi 110.58/lita (sawa na asilimia 5.15), mtawalia. Ongezeko hili la bei za mafuta katika ghala la mkoani Tanga limetokana na ongezeko la bei za mafuta hayo katika soko la dunia na kuongezeka kwa gharama
za usafirishaji wa mafuta (BPS Premiums).

(
Kutokana na report ya mleta mada kuna mfumuko wa asilimia 3, hivyo NBS wapo sahihi huo mfumuko ulioutaja ni chini ya asilimia 3.
 
Back
Top Bottom