Mfumuko wa bei umeshuka kwenye bidhaa zipi?

Mfumuko wa bei umeshuka kwenye bidhaa zipi?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,579
Reaction score
161,430
Tusidanganyane, umeme haujashuka bei, wala maji hayajashuka bei.

Konyagi hazijashuka bei, bia hazijashuka bei (wamepunguza volume )

Ada za shule na vyuo hazijashuka bei, gharama za matibabu hazijashuka.Gharama za gesti, za London, za pedi na chupi hazijashuka.

Mfumuko wa bei umeshuka lakini sukari kilo sh.2,700. mafuta ya kula lita 5 alfu ishirini na tatu, mchele Super Tenende kilo sh.2600.Nauli ziko na bei ile ile ya siku zote

Huo mfumuko umeshuka kwenye bidhaa ipi haswa zaidi ya matikiti maji?

Idara ya takwimu eidha mnaongea uwongo, au Just praise me anatudanganya.

Nitajieni bidhaa likizo shuka bei
 
Vyuma bado avija achia mzeee glisi bado aifanyikazi
 
Serikali ya waongo hii kuanzia Magogoni mpaka kwenye nafasi za chini kabisa hakuna msema kweli.

Tusidanganyane, umeme haujashuka bei, wala maji hayajashuka bei.

Konyagi hazijashuka bei, bia hazijashuka bei (wamepunguza volume )

Ada za shule na vyuo hazijashuka bei, gharama za matibabu hazijashuka.Gharama za gesti, za London, za pedi na chupi hazijashuka.

Mfumuko wa bei umeshuka lakini sukari kilo sh.2,700. mafuta ya kula lita 5 alfu ishirini na tatu, mchele Super Tenende kilo sh.2600.Nauli ziko na bei ile ile ya siku zote

Huo mfumuko umeshuka kwenye bidhaa ipi haswa zaidi ya matikiti maji?

Idara ya takwimu eidha mnaongea uwongo, au Just praise me anatudanganya.

Nitajieni bidhaa likizo shuka bei
 
Labda bihashara zetu zile
Jero kwa bao moja la kusimamia kucha
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Hao ndo NBS.
Wazee wa TAKWIMUView attachment 771209
_20180509_153920.JPG
View attachment 771210
 
Labda wanaangalia kushuka kwa Mahindi. Lakini mahindi hayajashuka kwa sababu za kiuchumi.
 
Sabuni kichelema kwetu 1000/=
Dagaa uchungu fungu 10000/=
Nyanya moja 300/=
Jamani hii hatari.
Sukari 28000/=
Bei imeshuka wp??
 
Mfumuko wa bei kupungua kwa asilimia fulani haina maana bei za bidhaa zimeshuka. Maana yake ni rate/speed ya ongezeko imepungua.
 
Haahahah mambo mengine inabidi uishie kucheka tu
 
Mfumuko umepungua kwenye
1. Beer kutoka 2500 mpaka 2000
2. Gesti self kutoka 25000 mpaka 20000 Mbagala mpaka 5000
3. Mademu wa juu kutoka 50000 mpaka 30000. Wa kati toka 20000 mpaka 10000 wa chini hata buku 5 unachovya asali.
Vyakula navifanyia utafiti
 
Takwimu za uongo, bei za bidhaa zinaendelea kupanda wao wanasema zinashuka.
Awamu hii ni kufoji kwa kwenda mbele kuanzia vyeti hadi data. Stupid!!!
 
Mfumuko wa bei kupungua kwa asilimia fulani haina maana bei za bidhaa zimeshuka. Maana yake ni rate/speed ya ongezeko imepungua.
Hiyo speed itaongezekaje wakati kila siku inapanda bidhaa moja badala ya nyingine. Kama wanataka zipande zote kwa wakati mmoja basi watasubiri sana. Na hapo ndipo takwimu zao zitakuwa zimekosa maana kwa maisha halisi ya watu.
 
Mfumuko umepungua kwenye
1. Beer kutoka 2500 mpaka 2000
2. Gesti self kutoka 25000 mpaka 20000 Mbagala mpaka 5000
3. Mademu wa juu kutoka 50000 mpaka 30000. Wa kati toka 20000 mpaka 10000 wa chini hata buku 5 unachovya asali.
Vyakula navifanyia utafiti
Kwenye hizo bidhaa mama yako ana tumia bidhaa gani?
 
Back
Top Bottom