Sever kuelemewa sio tatizo la muombaji ni tatizo lao hilo, wao ndio wana takiwa kushughulikia...!Procrastination....
Ni ugonjwa mbaya sana...
Kazi ukiiona omba siku hiyo hiyo...
Leo ni siku ya mwisho. Kila mtu anahangaika. Si ajabu servers zao zimeelemewa....
Kusubiri deadline ni hatari maana ishu ikitokea huna breathing room unabakia kulaumu bure...
Labda utaalamu wao unaishia hapo, sio vibaya watakatangaza tenda za kutafuta wataalamu wa kuwarekebishia mifumo.Sizani kama wana tumia ega!
Wana system zao nyingi za online, hii iwe kipimo cha kuzipitia hizo system zote ili uko mbele zisilete shida
Kuna Rita portal nayo ni shida tu’
Kuna system hazipo sawa na kuna zingine zina onekana zipo sawa kwa sababu watumiaji sio wengi Au hawa ingii katika system kwa wakati mmoja
Ni mzuri zaidi kama wana Ona bado hawaja jiandaa kuanza huko Au watoe options zote kwa posta, email, portal...Mfumo wa posta hata BOT wametumia kwenye ajira zao.
Ni kweli wasione aibu wakubali ukweli maana watumiaji ndio wame ziona changamoto na wame ziwasilisha na wao wenyewe wame kubali kuwa kuna changamoto kadhaa katika mfumo waoLabda utaalamu wao unaishia hapo, sio vibaya watakatangaza tenda za kutafuta wataalamu wa kuwarekebishia mifumo.
Hii nchi ina tabu sana,bot hawajahitaji hata kutuma online.ni physical address wametoa.Ni mzuri zaidi kama wana Ona bado hawaja jiandaa kuanza huko Au watoe options zote kwa posta, email, portal...
Una kuta wana e-mail yenye capacity ya gb 100 yani ni kichekesho... wataalam
Mpaka sasa hueleweki unacho imply ni niniNazani Bado serikali haija wekeza nguvu katika hili eneo japo wana tamani kufanya vyema sana ktk hili eneo...!
Ata brela portal kuna muda ni kituko tu!
Bora wao! Wameona mbali... ila wajifunze haya kama huko mbele wata taka kutumia huu mfumo wa online basi waelewe kuna hizi changamotoHii nchi ina tabu sana,bot hawajahitaji hata kutuma online.ni physical address wametoa.
Sio mbaya tukibinafsisha kama wataalam wa ndani wameshindwa kusaidia taasisi kupiga hatua zaidi ya kukosesha mapato ya tokanayo na mtandao nkMpaka sasa hueleweki unacho imply ni nini
Karne hii yenye wasomi na resources lukuki halafu mfumo wa mamlaka ya mapato ya nchi unakuwa down bila solution ndani ya wakati ni HUJUMA na upuuzi mtukuka.
Avatar yako inasadifu namna usivyoelewa mambo yanavyoenda. Kesho utakuja na uzi hapa kuwa tuibinafsishe TRA ili mapato yaongezeke.
Sonona inayosababishwa na CCM ni janga la taifaSio mbaya tukibinafsisha kama wataalam wa ndani wameshindwa kusaidia taasisi kupiga hatua zaidi ya kukosesha mapato ya tokanayo na mtandao nk
Utetezi wa Kipumbavu huu.Ujinga wa system kusumbua huwezi kuukuta ajira portal. The whole day simu ya hovyo hasa kwenye qualifications. To be sensible, ni kufanya assessment ya system, kama kuna ukweli ni lazima wafanye extension.
Haina maana ya kuwa na siku 14 halafu hiyo siku, mfumo usifanye kazi
Hii dalili ya tatizo la afya ya akili.Utetezi wa Kipumbavu huu.
Sasa aliyekosa akili nani hapa, aliyekosa kuomba au aliyawahi kuomba na akafanikiwa?Hii dalili ya tatizo la afya ya akili.