mfumo wa tra

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Je, Mfumo wa IDRSA na Website ya TRA havipo hewani?

    TRA Tanzania Kuna nini?Tovuti yenu pamoja na mfumo wa IDRSA haufikiki.Vp Shida ni nini?
  2. Marco Polo

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kulipa witholding tax kwenye mfumo wa TRA taxpayer portal

    Kuna majengo ya serikali nasimamia kama mtumishi wa umma sasa katika kuwalipa mafundi na suppliers Kuna Kodi inatakiwa kulipwa TRA, kwakuwa sina uzoefu na haya mambo nikasema niende ofisini kwao hawa TRA kupata ufafanuzi ila mtumishi wao niliyemkuta anifahamishe namna ya kufanya haya malipo...
  3. P

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mfumo wa TRA hauna ubora na hausaidii Watanzania

    TRA wamekua wakitamani sana kufanya mabadiliko na maboresho kwenye huduma zao lakini kuna jambo bado HAWALIFANYII KAZI AU HAWALIJUI. Pia nina mashaka sana na UWEZO wa watu wao wa kitengo cha TEHAMA. 1. Website yao ina mambo mengi sana, inatembelewa na wateja wengu sana. Walitakiwa kuongeza...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Meli imeshusha mzigo, imeelekea Mombasa na kushusha na sasa imeishafika india! Siku 11, bado mzigo haujatoka bandarini, kisa mfumo wa TRA

    Salam wanabodi. Hakika haya ni maajabu, inawezekanaje meli iliyoshusha mzigo Bandarini siku 11 nyuma, ipitie Mombasa na hadi sasa imefika India, lakini bado mzigo wangu haujatolewa bandarini? Kila nikiuliza agent (BE FORWARD naambiwa kuwa ni tatizo la mfumo wa TRA. Haya ndio Mabadiriko chanya...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa TRA ajira leo hovyo

    Toka asubuhi hakuna kitu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tujadili mfumo wa TRA ulioboreshwa wa kuweka TIN katika manunuzi

    Habari wakuu Tujadili mfumo ulioboreshwa wa kuweka TIN number katika manunuzi yako au mauzo yako hivo kufanya vyote vionekane TRA. Mnunuzi na muuzaje watakapo toa au kupokea risit isiyo na tin number Basi nikosa kisheria hivo utalipa faini ya 3000000-4500000 hiyo Itakua nikwamfanya biashara...
Back
Top Bottom