Mfumo wa Fainali CAFCL na CAFCC

bakundande jr

JF-Expert Member
Oct 22, 2021
507
670
Habari zenu wadau wa jamii forum,

Kumekuwa na mijadala mingi kuhusu mfumo wa mechi za fainali katika ligi ya mabingwa na kombe la shirikisho barani Africa yaani kuchezwa nyumbani na ugenini. Wengi wakitaka mfumo huu ufutwe na kuwekwa mfumo wa mechi moja ya fainali kama ile ya ligi za ulaya.

Kwa upande wangu nimejaribu kufikiria jambo hili na kabaini ya kuwa mfumo huu wa mechi mbili za fainali ni bora kurndelea kuwepo hapa barani Africa. Soka ni mashabiki na uzuri wa mechi ni uwepo wa mashabiki ukizingatia hili utagundua ya kuwa endapo kutakuwa na mfumo wa game moja ya fainal mechi husika itakosa hamasa kabisa.

Kwa mfano kama game ya yanga dhidi ya USMA ingechezwa katika neutral ground eg ipangwe kucmfanyika Ghana ni wanayanga wangapi wangeweza kwenda kushuhudia mtanange huo na kuipa support timu yao ama fikiria fainali ichezwe kwenye nchi ambayo moja ya timu husika inatoka eg. ingekuwa Algeria (kumbuka uwanja wa fainali huchaguliwa kabla au mwanzoni mwa msimu husika) je, unafikiri figusu zingekuwa kiasi gani kwa timu mgeni?

Hapa utaona ya kuwa mfumo tulionao sio tatizo na pia hatupaswi kuiga kila kitu kutoka ulaya ukizingatia tofauti ya kimiundo mbinu ya usafiri na hata kipato.

Cha muhimu ni kuwa wasimamizi wa mashindano wasimamie sheria na kuepuka uonevu kwa timu ilio ugenini. Ila swala la figisu ndani na nje ya uwanja (fataki na mipira mingi uwanjani) ni kitu ambacho hakiepukiki katika mazingira ya mpira hata huko ulaya mfano cheki game kati ya ajax na psv utathibitisha hilo.

NB: Hili suala ni kama mwanzo tulipokuwa tukilalamika game nyingi za ligi yetu kuchezwa muda mmoja (saa kumi jioni) tukataka baadhi ya game zipigwe mapema kama ulaya bila kuangalia tofauti ya hali ya hewa iliopo nwisho wa siku tumeanza kulalamika kuwa jua kali linaharibu ladha ya mpira.

Je, wewe una maoni gani katika hili?
 
Habari zenu wadau wa jamii forum.
Kumekuwa na mijadala mingi kuhusu mfumo wa mechi za fainali katika ligi ya mabingwa na kombe la shirikisho barani Africa yaani kuchezwa nyumbani na ugenini. Wengi wakitaka mfumo huu ufutwe na kuwekwa mfumo wa mechi moja ya fainali kama ile ya ligi za ulaya.

Kwa upande wangu nimejaribu kufikiria jambo hili na kabaini ya kuwa mfumo huu wa mechi mbili za fainali ni bora kurndelea kuwepo hapa barani Africa. Soka ni mashabiki na uzuri wa mechi ni uwepo wa mashabiki ukizingatia hili utagundua ya kuwa endapo kutakuwa na mfumo wa game moja ya fainal mechi husika itakosa hamasa kabisa.

Kwa mfano kama game ya yanga dhidi ya USMA ingechezwa katika neutral ground eg ipangwe kucmfanyika Ghana ni wanayanga wangapi wangeweza kwenda kushuhudia mtanange huo na kuipa support timu yao ama fikiria fainali ichezwe kwenye nchi ambayo moja ya timu husika inatoka eg ingekuwa Algeria( kumbuka uwanja wa fainali huchaguliwa kabla au mwanzoni mwa msimu husika) je unafikiri figusu zingekuwa kiasi gani kwa timu mgeni......

Hapa utaona ya kuwa mfumo tulionao sio tatizo na pia hatupaswi kuiga kila kitu kutoka ulaya ukizingatia tofauti ya kimiundo mbinu ya usafiri na hata kipato.
Cha muhimu ni kuwa wasimamizi wa mashindano wasimamie sheria na kuepuka uonevu kwa timu ilio ugenini. Ila swala la figisu ndani na nje ya uwanja (fataki na mipira mingi uwanjani) ni kitu ambacho hakiepukiki katika mazingira ya mpira hata huko ulaya mfano cheki game kati ya ajax na psv utathibitisha hilo.

N.b hili suala ni kama mwanzo tulipokuwa tukilalamika game nyingi za ligi yetu kuchezwa mda mmoja(saa kumi jioni) tukataka baadhi ya game zipigwe mapema kama ulaya bila kuangalia tofauti ya hali ya hewa iliopo nwisho wa siku tumeanza kulalamika kuwa jua kali linaharibu ladha ya mpira...

Je wewe una maonh gani katika hili?????
Mawazo mazuri sana aisee
 
Back
Top Bottom