ningekuwa na uwezo leo,ningeenda pale makao makuu ya wizara ya Elimu na kuitafuta ripoti ya Jackson Makwetta(RIP) NA KUITEKELEZA YALIYOPENDEKEZWA KWENYE TUME ILE;tuendeleeni kusubiri na tutasubiri sana elewa watoto wengi wa wanaojiweza na wanasiasa wetu uchwara wanasoma shule bora hapa nchini na wengi wao wanasoma ughaibuni,kumbuka elimu yetu ilivyokuwa bora kipindi nchi ina heshima na adabu,nimepita pale Mkwawa CNE(ETI NOW NI CHUO KIKUU) nikatoa machozi ya hasira ,kila kitu pale kimerudi nyuma ni jina tu ndilo lililobadilika from CNE eti to University!!!!