Mfumo wa e-ardhi

Mfumo wa e-ardhi

sekhal

Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
52
Reaction score
40
Habari wanajamii

Mbele yenu naomba kufahamishwa kama kuna mtu aliyewahi kuhamisha umiliki (transfer) wa ardhi, hati za mfumo mpya kupitia e- ardhi. Maana mimi nimefanya kila kitu mpaka kupata tax clearance lkn mfumo ndio unanikwamisha kuendelea na transfer. Nimefika jiji majibu ni yaleyale '"transfer mfumo mpya subirini"", kama mjuavyo subira yavuta heri lakini pia ngoja ngoja yaumiza matumbo. Naombeni mliofanikiwa kufanya transfer mniambie nyie mlifanyaje (NB Hati za mfumo mpya) Wizara ya Ardhi
 
Hata mimi nasikilizia,nimeshafanya taratibu zote za kuomba hati,status inanionyesha processing hii ni wiki ya 3 sasa...
 
Habari wanajamii

Mbele yenu naomba kufahamishwa kama kuna mtu aliyewahi kuhamisha umiliki (transfer) wa ardhi, hati za mfumo mpya kupitia e- ardhi. Maana mimi nimefanya kila kitu mpaka kupata tax clearance lkn mfumo ndio unanikwamisha kuendelea na transfer. Nimefika jiji majibu ni yaleyale '"transfer mfumo mpya subirini"", kama mjuavyo subira yavuta heri lakini pia ngoja ngoja yaumiza matumbo. Naombeni mliofanikiwa kufanya transfer mniambie nyie mlifanyaje (NB Hati za mfumo mpya) Wizara ya Ardhi
Nimehamisha umiliki mwezi uliopita. Kiukweli mfumo ni mzuri na rahisi kutumia unaepusha ucheleweshaji wa muda na kazi.
Hauna ile ya polishi wala maji kiu
 
Kaka upo mkoa gani ? Na ulihamisha umiliki wa hati ya mfumo mpya au mfumo wa zamani?
 
Habari wanajamii

Mbele yenu naomba kufahamishwa kama kuna mtu aliyewahi kuhamisha umiliki (transfer) wa ardhi, hati za mfumo mpya kupitia e- ardhi. Maana mimi nimefanya kila kitu mpaka kupata tax clearance lkn mfumo ndio unanikwamisha kuendelea na transfer. Nimefika jiji majibu ni yaleyale '"transfer mfumo mpya subirini"", kama mjuavyo subira yavuta heri lakini pia ngoja ngoja yaumiza matumbo. Naombeni mliofanikiwa kufanya transfer mniambie nyie mlifanyaje (NB Hati za mfumo mpya) Wizara ya Ardhi
updates mkuu
 
Huu mfumo sio rafiki kabisa kwa Watumiaji, kwanza sijui waliutyengeneza kumlenga nani, maana heading ni za kiingereza lakini ndani wanahitaji taarifa kwa kiswahili, lakini pia ukianzisha jambo inakuruhusu ufanye hatua kadhaa lakini mbele kuna hatua utakwamba, mfano una malalamiko ya kiwanja utaweka taarifa zako baadhi, ukifika aina malalamiko (complaint details), mfumo haukuruhusu kuchagua wala kuandika, unakua umeishia hapo hapo na mbele haukuruhusu kuendelea. Tanzania na teknolojia bado sana
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Wizi Mpya, Mkwamo Mpya Hakuna Jipya Bongo

Mimi hata mkoa wa dar es salaam hautokei hali ya kua walisema kwenye mikoa ya kuanza mfumo huu dar es salaam utakuwepo
 
Back
Top Bottom