Kwa kwel huu uzi sio mahali pake ungepeleka sehemu husika ungeshajibiwa vizri kama ni mgeni jaribu kuuliza kabla ya kupost thread yako ila mimi binafsi cjui kuhusu ving'amuzi vya cm! tembelea web ya TCRA na uliza utajibiwa vizuri tu!naomba kuuliza ndugu khs huu mfumo wa digitali eti kwa wale wenye cm zenye tv na wao wanashauriwa kuwa na ving'amuzi? kuuliza c ujinga