Mkuu yaani unataka kusema huoni kabisa tofauti ya chadema na ccm?hivi kinachomtofautisha mkiristo na mwislam huwa ni nn?Pole my brother naona ccm imekuharibu sana katika harakati zake za kuharibu nchi yetu.Leo tunaaminishwa tatizo si mtu ila tatizo ni mfumo,tunaambiwa EL alikua fisadi,mla rushwa,mnyonyaji na muhujumu uchumi sababu ya mfumo.Huku tukiendelea kuona walewale waliotoka kwenye mfumo mbovu wakiendelea kumiminika kuandaa unaoitwa mfumo thabiti.Tena hawafuati chama ila wanafuata madaraka.
Inashangaza kuhama kwao kwa masharti.
"mimi nakuja ila nipeperushe bendera,au mimi nakuja ila tukishinda niwe PM".
Ni dhahiri kwa wana UKAWA kumuachia EL rungu awasaidie kuwapeleka magogoni wenyewe wameshindwa.Nidhahiri huwezi taka msaada kwa kitu ambacho wewe unakiweza.
Mwanzo tulizungumza mtu mmoja EL lakini sasa ni kundi la watu tena wenye tabia zakufanana,
Ni kweli mtu mmoja hawezi kukamilisha mfumo kwani mfumo unahitaji muunganiko wa watu,
Lakini sasa si EL pekeyake tena,kila uchao tunashuhudia watu kutoka kwenye unaoitwa mfumo mbovu kuja UKAWA hivyo kwa wingi wao wata play part kubwa kukamilisha mfumo,
Ikumbukwe pia ushahidi wakimaabara(DNA) imeonesha EL ufisadi upo kwenye damu,
Kama hivyo ndivyo kwa vyovyote iwavyo kwa nafasi alionayo ndugu EL ambaye tumepata uthibitisho wakimaabara kwamba ufisadi upo kwenye damu tutarajie mfumo uleule unaopigiwa kilele.
Ni wendawazimu watu waliohusika kwa kiwango kikubwa kuandaa mfumo unaoitwa Mbovu waje kutuletea mfumo thabiti kwa hili UKAWA mnatuhadaa wananchi na hapa ndipo shaka inapokuja kwamba mwenyekiti ameshadaka mshiko na kukiuza chama kwa mafisadi huku wengine tukiendelea kukaririshwa habari za mfumo.
Uroho wa madaraka siku zote ndio unaopelekea machafuko ya kisiasa katika nchi nyingi na kuondosha amani ya nchi, CCM imekuwa mstari wa mbele kupigania uwepo wa amani kwa miaka zaidi ya hamsini sasa. Japo wengi hawajui ni kwa nini CCM inafanya hivyo, ningewaomba tu wasiojua kwa nini CCM inafanya hayo yote, watembelee tu nchi za jirani hapo CONGO, RWANDA NA BURUNDI, MISRI, LIBYA n.k wajionee, halafu watajua umuhimu wa kudumisha amani. Ninathamini amani, na ninathamini CCM, MAGUFULI na WATANZANIA. Hivyo basi sioni haja ya kutokifanya chama cha mapinduzi kuwa madarakani.Wanasiasa wanatufanya mabwege sana.Sioni jipya zaidi ya uroho wa madaraka tu.Wale tuliowachukia na waliounda mfumo huu dhaifu na wa kimagumashi ndio hao leo wanaokuja kujidai wanasaidia mabadiliko.Wale wale waliotupigia na kutuulia ndugu zetu leo hii wanajidai wanasaidia ukombozi.Hii ni big joke yaani ni kama vile Netanyahu aungane na Abass ili kuwakomboa wapalestina.Ndio maana watanzania waliukataa mfumo wa vyama vingi kwani wanasiasa wetu ni wasanii.Ndio maana nchi ilikuwa inayumba kisa kuna vikundi ndani ya ccm venye uroho wa madaraka.Dawa yao ni kuwatosa tu.
Tatizo mfumo ule ule umerudi Ukawa..... Hatudanganyiki wamekataliwa ccm wanakimbilia Ukawa
Mkuu yaani unataka kusema huoni kabisa tofauti ya chadema na ccm?hivi kinachomtofautisha mkiristo na mwislam huwa ni nn?Pole my brother naona ccm imekuharibu sana katika harakati zake za kuharibu nchi yetu.
Wanasiasa wanatufanya mabwege sana.
Sioni jipya zaidi ya uroho wa madaraka tu.Wale tuliowachukia na waliounda mfumo huu dhaifu na wa kimagumashi ndio hao leo wanaokuja kujidai wanasaidia mabadiliko.
Wale wale waliotupigia na kutuulia ndugu zetu leo hii wanajidai wanasaidia ukombozi.
Hii ni big joke yaani ni kama vile Netanyahu aungane na Abass ili kuwakomboa wapalestina.
Ndio maana watanzania waliukataa mfumo wa vyama vingi kwani wanasiasa wetu ni wasanii.
Ndio maana nchi ilikuwa inayumba kisa kuna vikundi ndani ya ccm venye uroho wa madaraka.
Dawa yao ni kuwatosa tu.
Leo tunaaminishwa tatizo si mtu ila tatizo ni mfumo,tunaambiwa EL alikua fisadi,mla rushwa,mnyonyaji na muhujumu uchumi sababu ya mfumo.Huku tukiendelea kuona walewale waliotoka kwenye mfumo mbovu wakiendelea kumiminika kuandaa unaoitwa mfumo thabiti.Tena hawafuati chama ila wanafuata madaraka.
Inashangaza kuhama kwao kwa masharti.
"mimi nakuja ila nipeperushe bendera,au mimi nakuja ila tukishinda niwe PM".
Ni dhahiri kwa wana UKAWA kumuachia EL rungu awasaidie kuwapeleka magogoni wenyewe wameshindwa.Nidhahiri huwezi taka msaada kwa kitu ambacho wewe unakiweza.
Mwanzo tulizungumza mtu mmoja EL lakini sasa ni kundi la watu tena wenye tabia zakufanana,
Ni kweli mtu mmoja hawezi kukamilisha mfumo kwani mfumo unahitaji muunganiko wa watu,
Lakini sasa si EL pekeyake tena,kila uchao tunashuhudia watu kutoka kwenye unaoitwa mfumo mbovu kuja UKAWA hivyo kwa wingi wao wata play part kubwa kukamilisha mfumo,
Ikumbukwe pia ushahidi wakimaabara(DNA) imeonesha EL ufisadi upo kwenye damu,
Kama hivyo ndivyo kwa vyovyote iwavyo kwa nafasi alionayo ndugu EL ambaye tumepata uthibitisho wakimaabara kwamba ufisadi upo kwenye damu tutarajie mfumo uleule unaopigiwa kilele.
Ni wendawazimu watu waliohusika kwa kiwango kikubwa kuandaa mfumo unaoitwa Mbovu waje kutuletea mfumo thabiti kwa hili UKAWA mnatuhadaa wananchi na hapa ndipo shaka inapokuja kwamba mwenyekiti ameshadaka mshiko na kukiuza chama kwa mafisadi huku wengine tukiendelea kukaririshwa habari za mfumo.
MKUU kichwa cha habari yako kinatosha kuelewa una maana gani ndiyo maana sikuchukua hata mda kusoma contents zake.
JIBU:
Mzee Mandela alimtumia De Clark kuuzamisha utawala wa makauburu pamaoja na mfumo wake! Watu kama nyie ni wanafiki na wanaotaka kutumia propaganda kuwachanganya watanzania wanaotaka mabadiliko. Watanzania na hasa vijana hawadanganywi na huu UNAFIKI. Labda tafuta santuri nyingine na wala hii haiuziki.
Wanasiasa wanatufanya mabwege sana.
Sioni jipya zaidi ya uroho wa madaraka tu.Wale tuliowachukia na waliounda mfumo huu dhaifu na wa kimagumashi ndio hao leo wanaokuja kujidai wanasaidia mabadiliko.
Wale wale waliotupigia na kutuulia ndugu zetu leo hii wanajidai wanasaidia ukombozi.
Hii ni big joke yaani ni kama vile Netanyahu aungane na Abass ili kuwakomboa wapalestina.
Ndio maana watanzania waliukataa mfumo wa vyama vingi kwani wanasiasa wetu ni wasanii.
Ndio maana nchi ilikuwa inayumba kisa kuna vikundi ndani ya ccm venye uroho wa madaraka.
Dawa yao ni kuwatosa tu.
MKUU kichwa cha habari yako kinatosha kuelewa una maana gani ndiyo maana sikuchukua hata mda kusoma contents zake.
JIBU:
Mzee Mandela alimtumia De Clark kuuzamisha utawala wa makauburu pamaoja na mfumo wake! Watu kama nyie ni wanafiki na wanaotaka kutumia propaganda kuwachanganya watanzania wanaotaka mabadiliko. Watanzania na hasa vijana hawadanganywi na huu UNAFIKI. Labda tafuta santuri nyingine na wala hii haiuziki.
Unajua maana ya mfumo au unapayuka tu hawa wamekuja kujiunga na mfumo mpya wa kuwatumikia raia sio shetani uko hapo