Kwa ufupi buashara ya stationery hata ukabe vipi, utapigwa tu. Kwenye bidhaa unaweza kudhibiti kwa sehemu fulani.
Ukija kwenye kutoa huduma na ambako ndiyo kuna hela, upigaji hufanyika kwa urahisi. Mfano mtu amescan page 10, huwezi kugundua kwa urahisi.
Kwa ujumla biashara yoyote ile ili ikuletee faida inayostahili, inahitaji usimamizi makini sana. Ikiwezekana simamia mwenyewe.