Mfumo mpya wa cheatting waingia!!



Inanistua sana na kushusha dhaman ya mwanamke to some extent. Naona kama uchi uchi.
 
Sasa UNAMBAMBAJE GAIDI LINALOTUMIA MBINU HII DUME!!!!! Manake aweza CHEAT TO ETERNITY usistuke, ukapewa hadi watoto wasio wako!

Inasikitishaaaa...
Mi wa kwangu nimemmezesha ki-chip kinachorekodi kila anachoongea.
The other day alikua anatongozwa live namsikia naye saut kidogo ishaanza kulegea nikaona nimpigie simu kuepusha yasifike mbali.
Ila hajui....
 
Inanistua sana na kushusha dhaman ya mwanamke to some extent. Naona kama uchi uchi.

*CH* si ndo wanaume wanaoupenda kuliko chochote duniani? AYA NIMEWEKA HIYO YA KIMAMA MCHUNGAJI!!!!!!! Happy NOW!!!!
 
Ndoa mtihani jamani, yani najua watu roho juu baada ya kusoma huu uzi!
 

dawa ni kuweka tego(wake zetu) a.k.a kitanzi kotekote tigo na k. mtu akizama ananasa.
 
dawa ni kuweka tego(wake zetu) a.k.a kitanzi kotekote tigo na k. mtu akizama ananasa.

Hahahaaaaaa! KINO tumeshajua JINSI YA KUTEST KAMA TEGO LIPO AU SHWARI!!!!!!! Dawa ngogo tu, UNAPITISHA FUNGUO/KITU CHA CHUMA TOKA PAJA LA KUSHOTO HADI LA KULIA!!!!!!!!!!! BAAAAAAAAASS!!! KAMA TEGO LIPO CHUMA KILE KIKIFIKA USAWA WA K KIAPIGWA NA KITU KA RADI, KINATETEMEKA KABISA, KAMA CHEPESI KINAKATIKA!!!!!!!! UNAJUA HAPA UTAMU HAKUNA!!!!!!!!! NI KUNASA TU!!!!!!!!!!! Unamwambia kiupole tu, HAYA VAA PICHU UENDEEEE KWA MUMEO!!!!!!!!! Watu nundaaaaaa! Usione wanatembea na SPOKU!!!!!!!! za kutest TEGO!
 
yani lara 1 huu uzi na jinsi watu wanavotiririka umepigia mstari kuwa pipo are cheating mchana kweupeeeee.
Hapa ofsn siku moja mdada kaaga anenda kula msosi, bahati mbaya akaacha PC yake on nilivokuwa mshakunaku nikazama kwa outlook! Niliyoyakuta.........ni majibizano ya kutoka kila mmoja na njia yake then wakutane parking waende kulimega!
Next time bi dada akaaga anaenda lunch, aliporudi akaanza kutafuta mtu wa kuagiza lunch.Nkajiuliza hiyo lunch aliyoenda 2hrs imekuwaje?!?!!??!

KUMBEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!

Hivi mnafikiri kwa nini watu wanaweka TEGO?!?!?!
 
Last edited by a moderator:
kazi ipo,bila uaminifu wa mtu binafisi tutaisha,lakini jamani mke ama mume wa mtu wa nini ?mimi siwezi uji!!!!
 
tego lishapata solution mbona kaelezea hapo juu, watu wabishi
 
aah , hiyo kali ase, hiyo inafanya kazi uhakika kweli
 
'MIMI NIKIONA MTU ANAIBIWA NAONA KAMA NAIBIWA MIMI..NGOJA NIZEEKEZEKE KIDOGO PENGINE NTAKUJA ELEWA' (Source:MwanaFa).....Binafsi ninachokiona ni kuwa kuishi kwenye NDOA lazima uishi kwa IMANI tu..UJUE moyo wa Mtu ni KIZA kinene......IF you can't beat them JOIN them!!...........
 
Taarifá pia ni kwamba Embassy Hotel si mnaiona haina lolote! Basi ndio maarufu sana kwa shughuli hiyo. Mchana pako busy pale. Wateja wanapitia mlango wa nyuma!
 
....mbona mbinu ya zamani hiyo? Hukuwa waijua shosti?..........
 
Muulize wewe

Mi SIKUIJUA ATIII!!!! Nilidhani MUME CHEATER NI YULE ANAERUDI USIKU WA MANANE KALEWA!!!!!!!!! Sasa kwa MBINU HII utatofautishaje CHEATER NA MPLOE ASILIA!!!?
 
Taarifá pia ni kwamba Embassy Hotel si mnaiona haina lolote! Basi ndio maarufu sana kwa shughuli hiyo. Mchana pako busy pale. Wateja wanapitia mlango wa nyuma!

Ndioooo! Pale pia nilideliver mzigo, nikakuta WATU WANAPISHANA KAMA KUNA MKUTANO WA WIZARA!!!!!!!!!! Sikuelewa WHY?
 
Hahahahahah njoo tusali rozari lol
Hahahahaaaaaaaaa!!!! SR MARIA Ciello!!!!!!!! NIMEIKUBALI HIII!!!!!!!! Kama nakuona na SKETI YA MARINDA NA KILEMBA KICHWANI!!!! LOL!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…