jf user
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 777
- 625
Kuna jamii za watu ulimwenguni wanatetea 50/50 huku hawajui wanatenda makosa makubwa sana.
Kiimani hasa sisi waKristo tunafahamu baada ya Hawa na Adamu kutenda ule uasi “Kula tunda la mti wa katikati” Mwenyezi-Mungu aliwafukuza bustanini na kuwapa adhabu kali sana ambayo ndio inayoutafuna ulimwengu kwa sasa mpaka kiama.
Mwanzo 3: 16 “Kisha akamwambia mwanamke nitakuzidishia uchungu wa kuzaa, kwa uchungu utazaa watoto, utakuwa na hamu na mumeo , hata hivyo atakutawala”
Sasa enyi viumbe wadunia mnapingana na MUNGU? MUNGU Ni mjinga?
Sisemi wanawake wote bali wachache wao hawajitambui… ndio hao wasiiolewa na wanaishia kwenye harakati na kushindna na waume zao. Waefeso 6:24 inasema “Kama vile kanisa linavomtii Kristo, vivyo hivyo wake wawatii waume waume zao katika mambo yote” Unajiuliza hiyo 50/50 inatoka wapi? Inashangaza…
Mwanamke ni mwanamke tuu huwezi mpanda mwanaume kichwani hata siku moja. Kamwe familia haitajengeka iwapo mwanamke atakua juu ya mumewe period.
Ipo mifano mingi katika jamii ya wanawake ambao waliwapanda juu waume zao na kilichowakuta na kukumba familia zao mnakifahamu.
NB: Kuna wanawake wa Roman Catholic nawapongeza sana kwani wao wameapa kuishi kwa kufata maandiko kama Yesu Kristo alivyonena na kuachana na mambo ya ulimwengu ya 50/50. Wote wanaolishika na kulitii neno la MUNGU wataurithi ufalme wa Mbinguni.