Greetings to you all!
Leo napenda niongelee suala linagusa sana jamii linalohusu Mfumo dume, hasa katika jamii yetu ya Afrika.
Mfumo dume kama ulivyo ni mzuri! Inaposemwa mfumo dume, maana yake ni mfumo wa maisha (kwa context ya ndoa) ambao mwanaume anapewa mamlaka ya kuwa kiongozi wa familia na mke. Kikawaida hakuna organization isiyo na organization structure, na kwa mazingira yoyote lazima tujifunze kuwa familia pia ni taasisi ambayo ni lazima iwena mfumo wa kuindesha. So anapokuwa mwanaume ndo kiongozi wa familia, ni sawa na taasisi zingine zenye ma CEO wanaume. Kwa context ya familia kila mtu anafahamu kuwa mama (mke) mchango wake waweza kuwa mkubwa kuliko wa baba na watoto (ukweli usiopingika). Hata kama hela anatafuta baba, ni lazima ahusike kusaidia zibajetike vizuri hadi zinapopaswa. Kama ni habari ya watoto attachment inaanza kwanza kwa mama ndo inaendelea mbele, since lazima yeye abebe mimba kwanza, azae, anyonyeshe then wengine wanachip in. N a mifano mingine mingi. So kama baba na mama, to mean mume na mke wakiwa na uhusiano mzuri, baba akampenda mke wake, akamcare pamoja na watoto, mfumo dume ni symbol tu, kwani end of the day waweza gundua mama anahusika sana katika mambo mengi kuliko baba. Ubaya wa huo mfumo ni pale unapokuwa misused na jamii au wanaume kwa kuwafanyia ukatili wanawake na watu kugeneralize kuwa mfumo dume ni mbaya si kweli. Kwani hata watu wakifight ukaja mfumo jike kama nao utakuwa mis used wanaume waweza kandamizwa! So mimi nashauri tusipate shida na mfumo dume, bali tuombe neema ya Mungu, na sisi tujitahidi kila mtu kukaa kwenye nafasi yake, ndoa na familia zikae kwenye nafasi yake, kama Mungu alivyokusudia, kuwepo upendo na amani, bila kujali mfumo, maisha yatapendeza!
Nawasilisha!