LOVI MEMBE
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,122
- 183
ulaji watu wakale wapi. Wakurugenzi wangapi fikiria na familia zao x10= utapata idadi ya wanaofaidika na mifuko hiihivi kwa nini kusiwe na mfuko mmoja tu wa pensheni kwa watumishi wa umma kuondoa huu utitiri wa mifuko usio na tija kwa wastaafu? Kila siku kuna mfuko uko arusha kufanya mikutano ya wadau ambao ni watu walewale!