Waziri Dkt. Ndumbaro Azindua Chama cha Maafisa Mawasiliano wa Serikali (TAGCO)

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,909
945
Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo Mhe. Damas Ndumbaro amezungumza na maafisa Mawasiliano Serikalini na kufungua Mkutano Mkuu wa Chama cha Maafisa Mawasiliano wa Serikali (TAGCO) uliofanyika kwenye Ukumbi wa AICC Jijini Arusha Tarehe 27 Februari,2024.

Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo Mhe. Damas Ndumbaro pia amezindua Jarida la TAGCO mara baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Chama cha Maafisa Mawasiliano wa Serikali (TAGCO) uliofanyika kwenye Ukumbi wa AICC Jijini Arusha Tarehe 27 Februari, 2024.

Washiriki wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Maafisa Mawasiliano wa Serikali wameshiriki majadiliano ya mada ya kwanza iliyohusu Crisis Communication Turning Challenges into Oportunity yaliyowahusisha Dkt. Hassan Abbas – Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii pamoja na Anastazia Rugabwa – Mkurugenzi wa Ushawishi na Ushirikishwaji kutoka Twaweza East Afrika na kusimamiwa na Bakari Machumu – Mkurugenzi Mkuu wa Mwananchi Communication.

GHaGXZtWYAAhbJj.jpg
GHaGYczWoAAeEXw.jpg
GHaGYczWwAAwimk.jpg
GHaGYcxWgAAXf_0.jpg
GHaGYc0WMAAzQ-t.jpg
 
Back
Top Bottom