Tareek Azeez
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 12,951
- 32,430
Imekuaje Kinana hajamuona huyo mnyama !!
Aahaha wai chpTunao fuga nywele ngoja tukaone yanayo jiri kule kwa Maxence Melo
Nilipiga moto ata ivyo sasaivi wamejaa san🤣🤣 Pamekauka tayari wameanza kusogea karibu, Unafaidi sana. Nasikia maji ni mengi tena sasa hivi
Wewe tena mdogo ake hayaMfugo wangu huu, sio uhuu
Ndio wana zunguka tuKwahiyo unaye nyumbani hiyo rasilimali ya nchi?
Ahaaha yupo biseImekuaje Kinana hajamuona huyo mnyama !!
Serikali si ya wana nchii na mm ni mwananchiAisee!! Unafuga nyara ya serikali?