Kuhusu madaraja sina uhakika nani anapaswa kutoa au kupokea ushauri wa kitaalamu kati ya Mfugale au Mh. Waziri mkuu?Katika hali ya kawaida hata Mfugale anatakiwa kuwajibishwa. Alitakiwa akamuombe Majaliwa kwamba huyo Meneja wa Morogoro abaki kwa sasa - kitu tunaita "no surprise" katika mambo ya utawala. Kitendo alichofanya Mfugale ni kumdhalilisha Waziri Mkuu.
Kwani kulikuwa na ubaya gani kwa Mfugale kuteua meneja mpya wa Tanroads Mororgoro na kumpeleka Andalwisye kwenye sight kama mtaalamu tu kutoka Wizarani kama ni kweli anahitajika kiasi hicho? Kwani hilo daraja ni lazima lijengwe Andalwisye akiwa ndio meneja wa Tanroads Morogoro?
Na ukweli ni kwamba Mfugale ni mwongo, wtalaamu wa madaraka ambao zaidi n structural engineers wapo wengi tu hapa nchini. Hilo sio daraja la kutoka Dar kwenda Zanzibar kwamba liko complicated sana kulijenga linahitaji utalaamu wa juu. Hata Technician wa Arusha Tech anaweza kulisimamia.
NI wazi Mfugale alitaka kumuonyesha Waziri Mkuu Majaliwa yeye ni nani katika watu wa Magufuli. Au labda Magufuli alimwambia Mfugale don't bother kumhamisha Andalwisye, maana huko sio kujiamnini kwa kawaida.
Kama tunasema mkubwa hakosei na hakosolewi hapo sawa, kama tunaamua kutumia madaraka ya kisiasa na mamlaka ya kisheria ati ndo yaamue mambo ya kitaaluma hapo sawa.
#Politics versus profesionalism.