Mfikiriavyo juu ya Humphrey Polepole sio sahihi

Mfikiriavyo juu ya Humphrey Polepole sio sahihi

Mfikiriavyo sivyo, kuwaza kuwa Polepole anakomolewa. Nani Amkomoe Polepole na kwa lipi?

Polepole ni mzalendo na Mchapakazi sana na hivyo ndio vinambeba hadi anakuwa promoted kwenda Taifa rafiki na Tanzania kwa miaka mingi sana. Nakuhakikishieni kwa caliber ya Pole Pole jiandaeni kushuhudia Tanzania ikifaidika katika Diplomacy ya kiuchumi kutoka Cuba.

Kama kuna mtu hamtaki Polepole kama wadhaniavyo wengi angetupwa tu akasinyaa na asingefanya lolote lile, ila Mama anampenda Polepole anajua Uwezo wake wa kuongoza na mama hayuko katika magenge ya wasaka Tonge ambao wanaweza kuwa na uadui na Polepole

Ni mama huyu huyu anahudhuria hadi shughuli za CHADEMA na ni mama huyu huyu kwa ustarabu wake atawashangaza wengi ifikapo 2030.

Siasa sio Makelele ya jukwaani tu, siasa zinataka COMPROMISES na kuwa inclusive kwa kila pande hata zile uonazo zinakinzana lakini katika agenda yako waona zina tija.

POLEPOLE🤷🏿‍♀️🤷🏿‍♀️🤷🏿‍♀️

Alitupwa Lowasa nje na hakufurukuta itakuwa Polepole hata shs 50M bank ya akiba hana???😄😄😄

Acheni hizo wadhaniao Polepole anakomolewa. Mtu anaenziwa watu wanapandikiza chuki kuwa anakomolewa.

Kukomolewa angepigwa chini, tuishie kumchangia nauli.
Endelea kumdanganya, ila hajakanusha kuomba rushwa ya ngono kwa wagombea wakati wa uchaguzi
 
Moja kati ya vijana wanaweza kuwa Marais wetu baadae.
 
Bado nakumbuka tuhuma yake ya kubaka wabunge vitu maalum na jinsi ilivyo funikwa...na Ile picha ya KY kwenye apartment yake Dodoma
Polepole hawezi kubaka mwanasiasa mwenzie mama mtu mzima. Just a little common sense.
 
Back
Top Bottom