Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,551
hahahaaa na ole wako unichoree mazombi
Labda kama DAFTARI lako lina matatizo, lakini kama liko poa baada ya miezi tisa utaona picha itakayotoka,mwenyewe utaipenda
hahahaaa na ole wako unichoree mazombi
Labda kama DAFTARI lako lina matatizo, lakini kama liko poa baada ya miezi tisa utaona picha itakayotoka,mwenyewe utaipenda
Mwenzenu nipo rum peke yangu najitishajeeeeee!!!naogopajeeeee!!!
Tokea saa 8 natetemeka naona vitu vinatembea tu.
daftari langu halina matatizo kabisa ni jipya halijachanika hata kurasa moja na wala halijawahi kuandikiwa
kwenda huko na wewe, kama unabisha muulize hata Asprin coz ndiye niliyemtuma dukani akaniletee halafu wewe unaleta kidomodomo chakoSubutuuuu
Hahahahaa Ich weis Ich weis....
nimeota umenibuy muex5 mwekundu.
Nimetokaje mbio sasa