mficha maradhi.....

mficha maradhi.....

Baba V kama unamuhitaji muwahi fasta nenda na kikombe cha maziwa dawa zimesha anza kufanya kazi ujue!!!!!

Umeniudhi bhana, we daktari gani hata vpmo hujachukua umekandamiza tu dozi, siku nyingine uwe na subra bhana
 
Last edited by a moderator:
Wewe nae! Una haraka kuzidi upesi, ona sasa umeniharibia, sichelewi kubadili mawazo na kuelekea njia ya nyumbani kwako ujue

nipo kwa ajili ya watu kama hao wanao hitaji msaada wa haraka

haya...... Nanyumbani kwangu unakuja unataka nini? Kwani mi naona maluweluwe kama ya amu?
 
Last edited by a moderator:
nipo kwa ajili ya watu kama hao wanao hitaji msaada wa haraka

haya...... Nanyumbani kwangu unakuja unataka nini? Kwani mi naona maluweluwe kama ya amu?

Kwani hadi uone maluweluwe!? Nataka nije unifundishe TIBA MBADILIKO
 
Last edited by a moderator:
Misha fika nimemaliza kumpa doz, maziwa nitayanwa mimi ili nimtengenezee doz nyingine chezea Mapolomoko. akiamkatu naendelea kumpolomoshea doz
 
Last edited by a moderator:
Misha fika nimemaliza kumpa doz, maziwa nitayanwa mimi ili nimtengenezee doz nyingine chezea Mapolomoko. akiamkatu naendelea kumpolomoshea doz

Wewe umeskia kuwa selection zenu zimeshatoka, naskia hata nyie wenye divisheni foo ya 37 mmechaguliwa kujiunga na fom faiv, angalia kwenye magazeti
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom