Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,054
- 6,281
Kilichomuua ni pombe?mbona sijaona uthubitisho wa hilo?
Mashindani ya kijinga sku zote hutoa athari za kijinga!
Wenzetu wanashindana kuvumbua, eti sisi tunashindana kunywa mipombe!!!!!
Ukweli, elimu ya marehemu Na kupenda sifa zilizopinda ni hatari.
Akalazwe huko anakoenda