Mfanyakazi wa Tanesco Arusha, Ombeni Alfayo amkata mkewe kiganja cha mkono kwa sime

Nishasemaga jamani. Ndoa siku hizi haina maana. Kula vizuri fanya mazoezi alafu enjoy maisha starehe ni nyingi tu duniani tena nzuri kuliko kutia tia hovyo zama za maradhi hizi. Ukishaoa au kuolewa baada ya mwezi ukilala na mwenzako unahisi Kama anachukua pumzi zako kitandani au unahisi kama umelala na furushi la uchafu.
 
Mtuhumiwa amekamatwa akiwa Jijini Dar es Salaam alikokimbilia

Mkewe ambaye ni Mwalimu wa Sekondari ya Kirenyi Arusha amelazwa Hospitali ya Selian Arusha kwa matibabu

Madaktari wanasema anaendelea vema japo Kiganja cha Mkono wake wa kulia kimetengana na viungo vingine vya mwili

Mungu amponye na ampe wepesi

View attachment 1585447

===

Mfanyakazi wa shirika la umeme Tanesco jijini Dar es salaam Ombeni Alfayo anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kitendo kukata mkono mkewe na kusababisha kiganja Cha mkono wa kulia kutengana na sehemu nyingine ya mkono.

Akiongeza na waandishi wa habari kamanda wa polisi mkoa wa Arusha ACP Salum Hamduni Alisema kuwa tukio hilo lilitokea majira ya Saa 5:45 asubuhi maeneo ya siwandeti ,Iliopo kata ya Kiranyi Tarafa ya Enaboishu wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha Ambapo alimkata mke wake Veronica Kidemi (30) mmasai na mwalimu wa shule ya sekondari Kiranyi na mkazi wa siwandeti ambapo alimjeruhi kwa kumkata na kitu chenye ncha Kali katika mikono yake miwili.

Alisema kuwa uchunguzi unaendelea Ili kubaini chanzo Cha tukio hilo ingawa taarifa za awali zinasema kuwa chanzo Ni wivu wa kimapenzi ,ambapo aliongeza kuwa mtuhumiwa huyo alikimbia Mara Baada ya kufanya tukio hilo na tayari ameshakamatwa katika jiji la Dar es salaam Mara Baada ya upelelezi kukamilika na atafikishwa mahakamani kwa hatua za kisheria aidha pia majeruhi amelazwa katika hospital ya selian-ngaramtoni.

Akiongelea tukio hilo mwalimu huyo Veronica Kidemi Alisema kuwa mume wake huyo alikuwa anamtishia Mara kwa Mara ,na alikuwa akimpiga Mara kwa Mara na inatokana na wivu alionao mume wake.

“Aliniita kutokea kazini nikaenda nilipotoka nikamkuta amejificha jikoni ndio akaanza kunikimbiza na kunikatakata mapanga hapa unapoona mkono unaniuma huu mmoja na huu mungine nimewekewa chuma ” Veronica

Kwa upande wake daktari bigwa wa mifupa wa hospital Seliani Robert Julius amethibitisha kumpokea akiwa anavuja damu nyingi na wakaanza kumpatia matibabu na kwa sasa anaendelea vizuri.

Mimi nikisikia issue yeyote inayohusu ndoa huwa naogopa kucoment make yaliyomo yamo, kiumbe anayeitwa mwanamke mwangalie mara mbili. Usimshangae anayefanya hayo, mwanamke anaweza kuwa na mwanaume mwingine na ukamweleza au uka muonya lakini asiache na ndo akazidi kukuonyesha zaidi. Na wakati anafanya yote hayo jioni anarudi kulala nyumba uliojenga wewe mwenaume, niwasahauri wanaume wenzangu tuwe wavumilivu kwani ukuchukulia hasira utanunua magunia ya mkaa kama yule jamaa wa Kigamboni
 
Ndoa za kikristo zina changamoto sana,kile kipengere cha mpaka umauti kinawatesa wengi sana,unamchoka mtu kumwacha haiwezekani,mambo kama huwezi kuyakuta kwenye ndoa za kiislamu
We bado uakifuata? Nawajua wengi tu waliocha na kuoa wengine wamewekeza vimada wanaendelea na maisha.
 
Lengo la shetani kuvunja ndoa ili watoto waathirike.
Hakuna maumivu wayapatayo watoto na yawaharibuyo kisaikolojia Kama wazazi kuachana kwao Ni ukatili wa Hali ya juu sana
 
Mtuhumiwa amekamatwa akiwa Jijini Dar es Salaam alikokimbilia

Mkewe ambaye ni Mwalimu wa Sekondari ya Kirenyi Arusha amelazwa Hospitali ya Selian Arusha kwa matibabu

Madaktari wanasema anaendelea vema japo Kiganja cha Mkono wake wa kulia kimetengana na viungo vingine vya mwili

Mungu amponye na ampe wepesi

View attachment 1585447

===

Mfanyakazi wa shirika la umeme Tanesco jijini Dar es salaam Ombeni Alfayo anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kitendo kukata mkono mkewe na kusababisha kiganja Cha mkono wa kulia kutengana na sehemu nyingine ya mkono.

Akiongeza na waandishi wa habari kamanda wa polisi mkoa wa Arusha ACP Salum Hamduni Alisema kuwa tukio hilo lilitokea majira ya Saa 5:45 asubuhi maeneo ya siwandeti ,Iliopo kata ya Kiranyi Tarafa ya Enaboishu wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha Ambapo alimkata mke wake Veronica Kidemi (30) mmasai na mwalimu wa shule ya sekondari Kiranyi na mkazi wa siwandeti ambapo alimjeruhi kwa kumkata na kitu chenye ncha Kali katika mikono yake miwili.

Alisema kuwa uchunguzi unaendelea Ili kubaini chanzo Cha tukio hilo ingawa taarifa za awali zinasema kuwa chanzo Ni wivu wa kimapenzi ,ambapo aliongeza kuwa mtuhumiwa huyo alikimbia Mara Baada ya kufanya tukio hilo na tayari ameshakamatwa katika jiji la Dar es salaam Mara Baada ya upelelezi kukamilika na atafikishwa mahakamani kwa hatua za kisheria aidha pia majeruhi amelazwa katika hospital ya selian-ngaramtoni.

Akiongelea tukio hilo mwalimu huyo Veronica Kidemi Alisema kuwa mume wake huyo alikuwa anamtishia Mara kwa Mara ,na alikuwa akimpiga Mara kwa Mara na inatokana na wivu alionao mume wake.

“Aliniita kutokea kazini nikaenda nilipotoka nikamkuta amejificha jikoni ndio akaanza kunikimbiza na kunikatakata mapanga hapa unapoona mkono unaniuma huu mmoja na huu mungine nimewekewa chuma ” Veronica

Kwa upande wake daktari bigwa wa mifupa wa hospital Seliani Robert Julius amethibitisha kumpokea akiwa anavuja damu nyingi na wakaanza kumpatia matibabu na kwa sasa anaendelea vizuri.
Heri unipige lkn usinitishie kuniuaaa,,nitakuachaa hapo mchana wa jua la saa 7,,pole veronica hujafa hujaumbika

Bwana Ombeni utavuna ulichopanda
 
Hapo ukute Huyo hajaelezea kisa chote karuka sanaaa.

Yaani karudi tu jamaa akaanza kumkimbiza akamkat
Mapenzi ni usenge
 
Nishasemaga jamani. Ndoa siku hizi haina maana. Kula vizuri fanya mazoezi alafu enjoy maisha starehe ni nyingi tu duniani tena nzuri kuliko kutia tia hovyo zama za maradhi hizi. Ukishaoa au kuolewa baada ya mwezi ukilala na mwenzako unahisi Kama anachukua pumzi zako kitandani au unahisi kama umelala na furushi la uchafu.
Hahahaaa
 
Mimi nikisikia issue yeyote inayohusu ndoa huwa naogopa kucoment make yaliyomo yamo, kiumbe anayeitwa mwanamke mwangalie mara mbili. Usimshangae anayefanya hayo, mwanamke anaweza kuwa na mwanaume mwingine na ukamweleza au uka muonya lakini asiache na ndo akazidi kukuonyesha zaidi. Na wakati anafanya yote hayo jioni anarudi kulala nyumba uliojenga wewe mwenaume, niwasahauri wanaume wenzangu tuwe wavumilivu kwani ukuchukulia hasira utanunua magunia ya mkaa kama yule jamaa wa Kigamboni
Kama tayari mna watoto, na nyumba yenyewe kama inawezekana muachie tu, malengo yashiatimia, nenda kapange na kula maisha...zamani kidogo kuna mdingi (dereva wa serikali) mtaani alikuwa ana wife pisi kali kinoma...inarudishwa home jioni kutoka kazini na gari tofauti tofauti...walikuwa wanazinguana sana..yule dingi alikacha nyumba na mtaa akauhama...akiibuka anakuja kumcheki mwanae tu mara moja moja...nikisoma habari kama hizi naona yule mdingi alifanyaga kitu cha maana sana
 
Ukimpenda mtu acha nafasi ya kujusaliti na ukimchukia mtu nafasi ya kuja kukusaidia.

Unapenda mpaka unakuwa tayari kwenda jela au kaburini. Kama issue ni mali mlizochuma hizo Mali utaenda kuzitumia kaburini au jela. Uhai/Uhuru wako unathamini zaidi ya Mali maana Mali zinatafutwa tu,na pisi/HB wanazaliwa kila siku.
 
Ndoa za kikristo zina changamoto sana,kile kipengere cha mpaka umauti kinawatesa wengi sana,unamchoka mtu kumwacha haiwezekani,mambo kama huwezi kuyakuta kwenye ndoa za kiislamu
Aliyekudanganya nani?kila kitu unakichukulia kwa muktadha wa imani yako as if Mungu alikwambia kwamba ndo imani sahihi ya kumfata yeye,ziko kesi chungu mbovu Chalinze hapo mwaka jana jamaa aliuwa mke watoto watatu na yeye akajichinja kooni,yule Mluguru aliyenywesha sumu wanae kisha akaenda kuulia mke shamba alikoenda kupalilia na yeye akajitundika walikuwa dini gani?

Au ni yale yale akifanya jema ni muislam sahih akifanya baya ni muislam jina?
 
Back
Top Bottom