Mfanyakazi wa Tanesco Arusha, Ombeni Alfayo amkata mkewe kiganja cha mkono kwa sime

Kuna kitu nilikiwaza mchana naona kina uhalisia kwa kiasi kikubwa.

Kwa sisi wanaume kuna hao wenzetu huwa wanajifanya wao kuchepuka ni Mwiko! Wanataka kutulia na wake zao tu sasa wanapoanza kuona mke hamuelewi vinaanza vitisho hatimae anakuja kufanya kweli. Mwanaume player ni nadra sana kumkuta anamuumiza au kumuua mkewe kwa sababu ya wivu wa kimapenzi. Nikiona nimeshindwana nae ni bora kila mtu aangalie upande wake.
 
Mwaka huu uishe tu 😏😏 pole kwa make na pole nyingi kwa mtuhumiwa. Ushauri binafsi: Ukiona kina ni kirefu toka kwenye maji using'ang'anie kubaki madhara huwa ni makubwa.

Kwa sasa ndoa sio kitu Cha kujivunia kabisa watu tunalala jicho moja likiwa wazi Mana hatujui wenza wetu wanatuwazia nini muda huo

Hii Jinai mbaya sana dhidi ya binadamu.
 
Haya ndo madhara ya Kuanza mapenzi ukubwani

Utotoni ulikuwa busy na kusoma huku wenzio watongoza na kubandua totoz tofauti tofauti
 
Mtuhumiwa amekamatwa akiwa Jijini Dar es Salaam alikokimbilia

Mkewe ambaye ni Mwalimu wa Sekondari ya Kirenyi Arusha amelazwa Hospitali ya Selian Arusha kwa matibabu

Madaktari wanasema anaendelea vema japo Kiganja cha Mkono wake wa kulia kimetengana na viungo vingine vya mwili

Mungu amponye na ampe wepesi

View attachment 1585447

===

Mfanyakazi wa shirika la umeme Tanesco jijini Dar es salaam Ombeni Alfayo anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kitendo kukata mkono mkewe na kusababisha kiganja Cha mkono wa kulia kutengana na sehemu nyingine ya mkono.

Akiongeza na waandishi wa habari kamanda wa polisi mkoa wa Arusha ACP Salum Hamduni Alisema kuwa tukio hilo lilitokea majira ya Saa 5:45 asubuhi maeneo ya siwandeti ,Iliopo kata ya Kiranyi Tarafa ya Enaboishu wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha Ambapo alimkata mke wake Veronica Kidemi (30) mmasai na mwalimu wa shule ya sekondari Kiranyi na mkazi wa siwandeti ambapo alimjeruhi kwa kumkata na kitu chenye ncha Kali katika mikono yake miwili.

Alisema kuwa uchunguzi unaendelea Ili kubaini chanzo Cha tukio hilo ingawa taarifa za awali zinasema kuwa chanzo Ni wivu wa kimapenzi ,ambapo aliongeza kuwa mtuhumiwa huyo alikimbia Mara Baada ya kufanya tukio hilo na tayari ameshakamatwa katika jiji la Dar es salaam Mara Baada ya upelelezi kukamilika na atafikishwa mahakamani kwa hatua za kisheria aidha pia majeruhi amelazwa katika hospital ya selian-ngaramtoni.

Akiongelea tukio hilo mwalimu huyo Veronica Kidemi Alisema kuwa mume wake huyo alikuwa anamtishia Mara kwa Mara ,na alikuwa akimpiga Mara kwa Mara na inatokana na wivu alionao mume wake.

“Aliniita kutokea kazini nikaenda nilipotoka nikamkuta amejificha jikoni ndio akaanza kunikimbiza na kunikatakata mapanga hapa unapoona mkono unaniuma huu mmoja na huu mungine nimewekewa chuma ” Veronica

Kwa upande wake daktari bigwa wa mifupa wa hospital Seliani Robert Julius amethibitisha kumpokea akiwa anavuja damu nyingi na wakaanza kumpatia matibabu na kwa sasa anaendelea vizuri.
Mchagga VS Mmasai....

Bro oa kwenu acha uzembe
 
Barbaric!
 
Ukiolewa ndo umeolewa best, hutakiwi kutoka hata kama unadundwa kila uchao
Walahi kichwa chake tu ndio kimemuanisha hivyo. Dunia hii hakuna ndugu/mzazi atakae taka mwanae abaki kwenye ndoa ili hali maisha yake yako hatarini
 
Mwaka huu uishe tu 😏😏 pole kwa mke na pole nyingi kwa mtuhumiwa. Ushauri binafsi: Ukiona kina ni kirefu toka kwenye maji using'ang'anie kubaki madhara huwa ni makubwa.

Kwa sasa ndoa sio kitu Cha kujivunia kabisa watu tunalala jicho moja likiwa wazi Mana hatujui wenza wetu wanatuwazia nini muda huo
👍👍
 
Back
Top Bottom