Mfanyakazi wa Ndani Anahitajika

Mfanyakazi wa Ndani Anahitajika

Nkuba25

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2015
Posts
2,374
Reaction score
13,097
Habari wakuu,

Nahitaji mfanyakazi wa ndani.
Sehemu ya kazi; Bunju A - Dar es Salaam
Mwenye kuweza kuniunganisha au kunipatia, nitashukuru sana.
Number ya mawasiliano - 0767836872.

Asante.
 
Habari wakuu,

Nahitaji mfanyakazi wa ndani.
Sehemu ya kazi; Bunju A - Dar es Salaam
Mwenye kuweza kuniunganisha au kunipatia, nitashukuru sana.
Number ya mawasiliano - 0767836872.

Asante.
Weka bei na vigezo na masharti... Maana ukienda kumpa taarifa atataka kujua
Ataishi huko huko
mshahara
Kazi zake
Kuna watoto nk elaborate
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom