kama kicha kinavyojieleza apo juu mfanyakazi awe mzoefu anayejua kupika vitafunwa na chakula kwa ajili ya mlo wa mchana na jioni,awe mkarimu kwa wateja na msafi.NB ni mgahawa mdogo ,malipo tutalipana kwa siku .pm kwa mawasiliano zaid
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.