winchester
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 283
- 332
Anahitajika mfanyakazi mdada wa duka la viatu , duka lipo mwananyamala , Awe anauwezo wa kutumia mitandao kujitangaza na pia awe mchangamfu . Mshahara kuanzia 150K . SMS /whatsapp 0754200363
We mzee bado unahitaji huyo mdada nikupatie wa uhakika lakini uwe na mkataba tu ili ujilinde wewe na yeye.Bado anahitajika mdada itakuwa safi kama atatokea maeneo ya karibu na mwananyamala .