Mfanyakazi mwenzangu anataka tuchepuke ofisini

Mfanyakazi mwenzangu anataka tuchepuke ofisini

BRO SANTANA

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2015
Posts
1,845
Reaction score
2,249
Habari za mwanzo wa wiki wakuu.Wikiendi ya wiki iliyopita nikikuja na hii stori hapa chini.

Mimi ni kijana ninaefanya kazi ktk kampuni moja kwa miaka 3 sasa na nina mke na mtoto 1.Sasa kuna dada mmoja nilimkuta hapo kazini ambaye ni mzuri na amejaliwa sana sehemu za nyuma yaani ni balaa.
t
Sasa huyu dada alionyesha kunitaka lakini kutokana na msimamo wangu ameshindwa na bado ananisumbua sana na pia yeye ameolewa na ana mtoto 1 yaani nikikaa nae ofisini ananisumbua sana mara anikisi kwa nguvu mara anishikeshike yaani ni shida tena hasa tukiingia kazini weekend ndio balaa maana siku nyingine tunakuwa wawili tu.

Nimevummilia sana sasa naona nachoka na leo usiku amenitumia ujumbe kuwa leo tunapoenda kazini lazima tufanye mapenzi ofisini maana anasema amevumilia sana na yeye amechoka na nisipo kubali atanitangaza kazini na kwa mme wake kwamba ninamsumbua na nimemtishia maisha yake.

Naombeni ushauri wakuu juu ya hili maana nahisi kumkaribisha shetani ofisini.

Sasa jumamosi kama kawaida nikamuaga wife na mtoto alafu nikaondoka.Nilipokuwa njiani mara ikaingia msg kwny cm,kucheck kumbe ni yeye anauliza upo wapi dear mbona unachelewa leo?
Mimi sikujibu msg ila nilipo fika ofisini nikamkuta na nikamsalimia mambo akajibu poa baby za home.
Nikamjibu mke wangu ndiye anayeniita baby na sio mtu mwingine kwa hiyo naomba jiheshimu na fanya kilichokuleta.
Akaamka alipokaa akavuta kiti chake akaja nilipokaa na kunishika bega na kuniita jina langu na kusema naomba niangalie usoni.
Sikumuangalia na nikaendelea na kazi ya kuwasha kompyuta yangu huku nikijifanya simsikilizi kabisa.
Ndipo alipoamua kushika kichwa changu na kunigeuzia kwake na kuniuliza,
Hivi mimi ni mbaya au umeamua tu kunitesa?
Nikamwambia aniache mara moja kabla sijaanza kusambaza zile msg alizotuma akisema atamwambia mme wake kama namsumbua na kwa wafanyakazi wote ili wajue kuwa yeye ananisumbua na nitaenda kumshitaki kwa bosi wetu.
Wakata huo mapaja yake yote yapo wazi na tight ya rangi ya pink naiona vizuri ama kweli jamani mtoto anapaja limenona kama soseji ya pweza.
Akaongea kwa sauti nyororo akasema jaaamaani usifanye hivyo santana naombs msaada wako mi nateseka mwenzio nionee huruma.
Nikamwambia akaendelee na kazi tukimaliza tuondoke wote lakini pale kazini sio sehemu salama kwa kugegedana.
Basi baada ya kumjibu hivyo nilipata bonge la busu na kuniambia asante baby.
Wakati wa kutoka aliniganda kama ruba lakini nikamwambia ngoja nikafikirie nitampa jibu j3 yani leo.Leo kazini amenibana lakini nimembadilikia tena kuwa nitasambaza zile msg kama ushahidi na naomba kuanzia leo kila mtu atulie na ndoa yake.Lakini huyu binti bado anakaza na jioni hii ametuma msg anasema anataka anunue gari mpya anipe ili tuwe tunaendea kazini yani niwe nampitia lakini gari ananipa na kadi anaandika jina langu.
Jamani mimi huyu mwanamke naenda na zile msg kwa mme wake maana mme wake tunafahamiana kidogo.
Ushauri wadau maana naona bado ninamtihani.
 
kula mzigo huo. ila mrejesho muhimu kwa action yenu hiyo kama itakuwa kweli
 
Pepo hilo baada ya muda utafukuzwa kazini then ndoa yako itakuwa iko ICU then utafukuzwa kazi mwisho utakufa kwa msongo wa mawazo au ukimwi au pressure.Kabla ujaenda mwangalie mkeo machoni mwambie nakupenda,mbebe mtoto mrusherushe juu mpaka acheke sana.alafu ingia sehemu ukae peke yako mwambie Mungu unanipenda niokoe na huu mtego
 
unatumia nini??? kama kinywaji
 
Sasa shida yann? Cha umuhimu heshimuni ofisi tu, chukua mzg kapige lodge apo ofcn utapiga moja bas hutafahd mkuu
 
Dogo, umesema amejaaliwa upande gani? Alafu mbona umeoa bado dogo sana!
 
Amekutumia ujumbe kuwa leo lazima msex na ukikataa atakutangaza na kwa mumewe kuwa unamsumbua na kumtishia maisha. Hahahaha huoni kuwa huo ndo ushahidi utakaomuonyesha mumewe? Akili zingine haziwezi fanya kazi mpaka uchanganye na pettroli
 
Sasa na wewe unatishika na hivyo vimaneno vidogo hivyo, kama umeamua kushikilia msimamo wako endelea nao, na wewe mwambie msg zako zote ulizokuwa unatuma na maongezi vyote nimerekodi.
Nadhani kwa hilo lazima awe mdogo kuliko piliton.
Ila kwa upande wangu ningeosha sana tu kabla ya yeye kuanza kunisumbua.
 
I got nothing to tell you buddy, u got each and every evidence...hold on.

But remember wewe ni mwanaume.
 
Kauli na matendo vinapotofautiana. Tatizo halipo kwa huyo dada, tatizo sio kushikwashikwa. Tatizo katika hili ni wewe.
Hizi ni kauli zako mwenyewe

1.''kuna dada mmoja nilimkuta hapo kazini ambaye ni mzuri na amejaliwa sana sehemu za nyuma yaani ni balaa''

2. ''huyu dada alionyesha kunitaka lakini kutokana na msimamo wangu ameshindwa na bado ananisumbua sana ''

3. ''Naombeni ushauri wakuu juu ya hili maana nahisi kumkaribisha shetani ofisini.''

Kwa kauli hizo ni wazi kuwa unakwenda kuanguka, embu kumbuka kiapo chako cha ndoa. Vipi kama mkeo naye anasumbuliwa na jamaa ofisini kwake halafu ukasikia anaomba ushauri kama huu unaoomba hapa?!

Yote kwa yote maamuzi ni yako ila kila uamuzi una matokeo yake.
 
kama uttaamua kufanya usifanyie ofisin maana utakosa ndoa na kaz? otherwise endlea kumkimbia shetan...
 
Kauli na matendo vinapotofautiana. Tatizo halipo kwa huyo dada, tatizo sio kushikwashikwa. Tatizo katika hili ni wewe.
Hizi ni kauli zako mwenyewe

1.''kuna dada mmoja nilimkuta hapo kazini ambaye ni mzuri na amejaliwa sana sehemu za nyuma yaani ni balaa''

2. ''huyu dada alionyesha kunitaka lakini kutokana na msimamo wangu ameshindwa na bado ananisumbua sana ''

3. ''Naombeni ushauri wakuu juu ya hili maana nahisi kumkaribisha shetani ofisini.''

Kwa kauli hizo ni wazi kuwa unakwenda kuanguka, embu kumbuka kiapo chako cha ndoa. Vipi kama mkeo naye anasumbuliwa na jamaa ofisini kwake halafu ukasikia anaomba ushauri kama huu unaoomba hapa?!

Yote kwa yote maamuzi ni yako ila kila uamuzi una matokeo yake.

Habari za weekend wakuu.
Naombeni ushauri wakuu juu ya hili maana nahisi kumkaribisha shetani ofisini.
 
Masikini dogo kashikwa pabaya na kuingia mwenyewe. Hata kama siyo leo, huu mtego utakunasa tu labda upate booster kichwani!
 
Katika vitu ambavyo kamwe hutakiwi kufanya n kutembea na office mate wako, house girl! It always comes to haunt you,
 
Back
Top Bottom