Sio current, bali currently au anaweza kutumia neno recentlyAsante
Jamani Leo yamenikuta! !!!! Hivi mfanyakazi kibarua kwa kingereza tunasemaji. Kwa mfano nataka kusema kwamba " Kwa sasa nafanyakazi kampuni ya ABC kama kibarua". Masaada wenu tafadhali.
Kweli wewe ni kanali mstaafu, endelea kupumzika. [emoji1]
naona umedownload kale ka cover later
kakupe muongozo safi .
]
Haa Haaaa!! Na interview nimeshaitwa aise