Mfanyakazi huyu ni kero kubwa sana chuo kikuu cha Tumaini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mfanyakazi huyu ni kero kubwa sana chuo kikuu cha Tumaini

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kabila01, Nov 20, 2009.

 1. kabila01

  kabila01 JF-Expert Member

  #1
  Nov 20, 2009
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 3,012
  Likes Received: 1,821
  Trophy Points: 280
  Habari wana jamii
  Nimejitokeza na kero hii ambayo imekua ikiwaesa sana wanachuo wa chuo kikuu cha Tumaini Iringa
  Kuna mfanyakazi mmoja anafanya kazi ya kutoa transcript za matokeo pale chuoni, kwa kweli dada huyu amekua ni kero sana kutokana na huduma anayoitoa kwa wananchuo.
  Anafanya kazi kama vile ofisi ile ni ya mzazi wake
  Mtu anafunga safari kutoka dar au Arusha kuja kuchukua cheti chake cha matoke, shughuli inakuja akufika pale ofisini. kila ukienda pale unaambiwa njoo kesho hadi wiki nzima inaisha mtu hajapata cheti chake
  pia hata majibu yake ni ya kukatisha tamaa kabisa na ya maudhi.
  wanachuo wengi sana utawakuta wapo nje ya ofisi ile kila siku wanalalamika na kupigwa na jua pamoja na njaa
  Watu wanavyoongea wanadai kiburi cha dada huyu kapewa na mtu mwenye cheo kikubwa sana pale chuon ndo maana anawaona wananchuo kama mijibwa pori
  Tunamuomba huyo mkubwa anaempa kiburi ampe counselling huyu dada vinginevyo next time nae tunamtaja coz data tunazo na tunamfaham
  atu wananhitaji huduma nzuri na sio kuwekana kwenu kusiwatese wengine
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Nov 20, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  JF itakusaidiaje hapa? Fikisha malalamiko yako kwa ngazi husika. Penye uzia penyeza rupia.
   
 3. Mopao Josee

  Mopao Josee JF-Expert Member

  #3
  Nov 20, 2009
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mshushieni kipigo.....kwa kumwaga mboga!!
   
 4. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #4
  Nov 20, 2009
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,168
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Huyo mtongozeni mumdanganye na mijipesa kuliko ya huyo mzee wake. Mkimpata mnampa mimba, hakuna cha ndomu then mnamtelekeza.
  Kibur chote kitaisha.
  Mchango ndo huo
   
 5. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #5
  Nov 21, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Inabidi uongozi uambiwe....msg sent....namjua dean mmoja pale.....
   
 6. Mvina

  Mvina JF-Expert Member

  #6
  Nov 21, 2009
  Joined: Aug 2, 2009
  Messages: 1,000
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Huu ushauri ni kama vile nguvu za giza.
   
 7. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #7
  Nov 21, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  mkuu nadhani hapa unamwonea dada wa watu bureeeee....kama kibri anapewa na huyo mkuu wake...ishu ni ku-deal na mwenye mbwa na sio huyo mbwa wake...sema ni boss gani anamtia kiburi kabinti kake fulani hapo tumaini campus ya iringa ila na yeye boss tumsemeeeee hata kwa wakubwa kuliko yeye ili achukue hatua za kumwambia mbwa wake aache upuuzi kwenu ninyi wasomi na marais watarajiwa wa bongolala country yetu.
   
 8. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #8
  Nov 21, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  jina lako tu ni kasheshe mheshimiwa ila maneno yako yako kamili
   
 9. Semenya

  Semenya JF-Expert Member

  #9
  Nov 21, 2009
  Joined: Sep 5, 2009
  Messages: 572
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 35
  Inategemea anategeneza transcripts za watu wangapi.kama ni wengi lazma mpate hiyo kero, transcript inabidi iandaliwe kimakini sana na si kwa pupa.
   
 10. L

  Lampart Senior Member

  #10
  Nov 21, 2009
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nd. Masanilo,
  Sisi Watanzania sio watu serious kabisa na kwahivyo sijui huu ufisadi kama utakwisha hapa nchini. This is a serious issue huyu ndugu yetu kaleta hapa ukumbini na sisi tunatania. Hata kama anatoa transcripts 100 kwa siku, hawezi kuwanyanyasa wananchi katika nchi yao. Kwanza mtu sio lazima aende mpaka huko Iringa ili kuchukuwa transcripts zake. Hakuna njia nyengine kwani? Why are we stunt of imaginations?
  Mwanangu huyu hapa chini anajibiwa alipokuwa akiomba transcripts zake wakati yupo hapa DSM. Angelikuwa Tumaini ingelibidi apande ndege mpaka Canada.

  [FONT=&quot]"Hello Lampart,[/FONT][FONT=&quot][/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT][FONT=&quot][/FONT]
  [FONT=&quot]I have received from student accounts your correspondence with them regarding your request for official transcripts. [/FONT]
  [FONT=&quot]Use this form if you are an Undergraduate Student requesting official transcripts: http://www.registrar.uwaterloo.ca/forms/index.html - click on forms and then transcript request. [/FONT]
  [FONT=&quot]Cost of each transcript is $10.00 (GST included). If you are requesting that your transcript(s) be faxed or sent by courier, additional mailing costs apply (Fax: $5 if in Ontario, $10 outside Canada; Courier: $10 if in Ontario, $20 other Canadian provinces,$25 anywhere in the United State, $35 International). Please note transcripts will require 7 days to process following receipt of completed form and payment. [/FONT]
  [FONT=&quot]You can fax the completed signed form to 519-746-2882. [/FONT]
  [FONT=&quot]As our guarantee is one week from receipt of completed form with payment, we will do our best to process your request sooner but please note there is no guarantee. [/FONT]
  [FONT=&quot]Thank you and have a great day![/FONT]

  [FONT=&quot]Transcript Clerk"[/FONT][FONT=&quot][/FONT]
  [FONT=&quot]
  [/FONT]

  Ishawekwa wazi kabisa bei ya posta, bei ya courier service na bei ya fax. Sasa hapo panakuringiana tena? Ipo haja uende mpaka Tumaini?

  Nd. Masalino unasema apenyeze rupia, sasa ndio tunamueleza nini? This is a sign of a corrupt mind similar to that of Chenge, Rostam, etc, etc.... Huu unaoupendekeza wewe sio ufisadi nao???
  Anaepokea hongo ni fisadi na anaetoa hongo pia ni fisadi. In fact huyu anaetoa ndio fisadi zaidi kuliko huyo Chenge anaepokea!!!
  Vita ya ufisadi ni lazima ilenge mpokeaji hongo na mtowaji hongo ili ifuzu. Kupinga kupokea hongo alone is meaningless ikiwa watu kama Nd. Masanilo wapo tayari kutoa hongo!!!
   
 11. Ngida1

  Ngida1 JF-Expert Member

  #11
  Nov 21, 2009
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 554
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Ndugu yangu Lampart,
  Najua ni mwenye uchungu wa nchi yako, kwani unaona kila kitu hakiendi nchini. Ni ugeni tu huo unakusumbua, lakini baadae utazowea kama tulivyozowea wengine. Wenzio tulikuwa tukipata pressure tukiona mambo kama hayo, lakini sasa tushaingia mjini na wala hayatupi shida.
  Pole sana ndugu yangu!
  Hayo unayoyaeleza ni ya kweli, lakini hapa tupo Bongoland na sio Canada!
  Unataka hizo transcripts zipelekwe kwa Posta unadhani zitafika? Postman atadhania mnapesa ndani na bahasha itafunguliwa na halafu itatupwa.
  Courier service????? Unazungumza nini ndugu yangu? Huyo courier mwenyewe ndio wa mwanzo kuchana bahasha. I am not joking - take it from someone who just experienced it few days ago!
  Fax????? Unajua kama siku hizi hatuna umeme? Hata huko Tumaini ukiwepo umeme je huko inakokuenda fax ikiwa hakuna umeme fax itafika?
  Hapa kwetu ni mazingira mengine na kwahivyo hio mifano yako ya Canada hapa haifai kabisa. Hapa tunapaita Bongoland na ushauri wa Nd. Masanilo ni sawasawa kabisa. Bila ya rupia hapa hufanyi lako hata kidogo!!!
  Ikiwa kutia rupia kidogo ili lako linyoke ni ufisadi, basi nchi nzima ni mafisadi!
   
 12. T

  Tongue blister JF-Expert Member

  #12
  Nov 21, 2009
  Joined: Jun 19, 2009
  Messages: 361
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watu wa jinsi hii wapo wengi hata kwenye Bar za mitaani..! Simama kwa miguu yako na mweleze kero zako. Akiendelea toa taarifa kwa boss wake, na bosi wake pia akileta ujinga unamtafutia boss wake, Acheni kuzubaisha wajinga wa jinsi hiyo, Wengine wanaleta dharau kwasababu wanatembea na maboss wao na wengine kwasababu wanahitaji kitu kidogo ( rushwa ) na wengine kama mimi wanataka tu waonekane na wao kwamba wanaweza kukulaza guest kwa wiki nzima ukila mahindi ya kuchoma ili umheshimu.
   
 13. L

  Lunanilo JF-Expert Member

  #13
  Nov 21, 2009
  Joined: Feb 15, 2008
  Messages: 370
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35

  Sasa ndugu yangu kwa nini umtelekeze mwanao? Pengine ni adhabu nzuri kumpatia huyo mama mtoto, Je huoni kuwa mwanao atataabika kutokuwa karibu na baba yake? Halafu huofii magonjwa kwa hao unaowashauri wakampe mimba huyo binti?
   
 14. Serendipity

  Serendipity JF-Expert Member

  #14
  Nov 22, 2009
  Joined: Jan 24, 2009
  Messages: 475
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Duh.. naukimwi je? au unapima kwanza kabla ya kumpa hiyo mimba?
   
 15. L

  Lampart Senior Member

  #15
  Nov 22, 2009
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [FONT=courier, monaco, monospace, sans-serif]Aaah!!
  Hata Muungwana naona anakuunga mkono!!!!!!!!!!!!!!!!
  [/FONT] __._,_.___
  1 of 1 File(s)
  [​IMG] Muungwana.mp3
   
 16. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #16
  Nov 23, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  eti mijibwa pori! duh kweli inabidi huyo -she- abadilike huh
   
 17. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #17
  Nov 23, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  uwiiiiiiiiiiiiii hahahahahahahahahahahaha, hilo nalo neno!
   
 18. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #18
  Nov 23, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Hiki ndiyo chuo kilichoongeza ada ghafla, ongezeko la asilimia 60.
  Mkuu wa chuo (ambaye ndiye mkuu wa kanisa la KKKT) ametamka kwamba, asiyetaka aache!
  Nasikia ongezeko hili ni kufidia gharama za umeme na maji.
  ...Mtakooooooma!

  Gharama ya hostel ni kiasi gani na upatikanaji wake ukoje kwa Dar-es-Salaam?
   
 19. C

  CLAY KITUMBOY Senior Member

  #19
  Nov 24, 2009
  Joined: Sep 8, 2009
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na mimi nlikwisha msikia huyo mama kwa mtu fulani alimnyanyasa sana sana kama uongozi unasoma blog hii wamwangalie kwa vizuri huyo mtu lakini wasimuonee tu.
   
Loading...