Mfanyakazi anayetuhumiwa kuchoma korani huko Morogoro anahitaji msaada wa kisheria

Nadhani amefukuzwa kazi kwa sababu ya ulevi, na kitendo chakuchana hicho kitabu ni kwa sababu ya ulevipia.

Kuchana kitabu sidhani kama ni sababu ya kumwachisha kazi mana akishinda kesi inayo mkabili itabidi arudishwe kazini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rejeeni kiapo chake kama mtumishi wa umma, kipengele namba 11 kinasema hivi

"Nitaepuka tabia ambayo inavunja heshima ya utumishi wa umma hata ninapokuwa nje ya mahali pa kazi"

Kitendo alichofanya kinavunja heshima ya utumishi wa umma

Sent using Jamii Forums mobile app
Sakata hili mwajiri wake hahusiki kabisa kwani liko mikononi mwa serikali kuu. Serikali za mitaa zinaendeshwa na wananchi ndiyo sababu zina uchaguzi wake tofauti.
 
Hata agano la kale havifanani kwa sehemu kubwa sana.Mwanzo tu vinaanza kwa kutofautiana
Quran inasema kwamba uasi wa shetani ulianza alipokataa kumsujudia Adamu,Biblia ya agano la kale haisemi hivyo.
Ngamia na Sungura ni haramu katika agano la kale,kwa waislamu ni chakula halali.
Pombe iliruhusiwa agano la kale,kwenye Quran ni haramu
Masharti ya mavazi katika agano la Kale ilikuwa ni wanawake wasivae mavazi ya kiume tu,katika Quran kuna lundo la masharti kwa mavazi ya mwanamke.
Agano la kale siku maalum ya ibada ni Sabatho na hakuna kufanya kazi,katika Quran hakuna siku maalum
Zaka katika agano la kale ni asilimia kumi ya mapato yako,kwenye Quran sio hivyo
Agano la kale kuna uko maalum unaotoa viongozi wa dini(makuhani) kwenye Quran ni yeyote.
Haya ni baadhi ya mambo machache ila yapo mengi,bila unafiki wewe kweli kama umesoma vitabu hivi vyote viwili vizuri ni sehemu zipi uliona vitabu hivi vinafanana?
Kwa agano la JIPYA sawaaa havifanani sana maana maneno mengi ni ya WAANDISHI
Ila kwa agano la KALE asilimia kubwa ya mafundisho na matukio yanafanana sanaa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli kwamba kila unapovunja sheria mlalamikaji lazima anakuwa serikali.
Kuna tofauti ya makosa ya jinai na madai,kajifunze tena.
Hapa kuna makosa matatu ya kisheria ambayo yote yanaingia kwenye majukumu ya serikali. Unapo vunja baadhi ya sheria za nchi basi moja kwa moja mwenye jukumu la kulalamika/kukushtaki ni jamuhuri kwa maana ya serikali. Kama huko nyuma kulitokea uvunjaji wa sheria kama hivi na hatua hazikuchukuliwa basi wakulaumiwa/kuwajibishwa ni wale waliokuwa wasimamizi wa sheria kwa wakati huo. Linapo kuja jambo la uvunjifu wa sheria/amani ni lazima lifuatiliwe kisheria, tusiende kimazoea. Inawezekana hata huyu amevunja sheria kwa sababu yalisha fanyika mambo kama hayo huko nyuma na maisha yakaendelea bila hatua zozote za kisheria kuchukuliwa. Tukiachana na mambo ya sheria za nchi kuna ubinadamu, hivi unadhani kama serikali isinge muweka ndani ni nini kingetokea. Yaani apite mtaani halafu watu wanamnyooshea vidole kwamba yule ndie aliye chana kitabu. Amini usiamini ndugu zake wangekwisha mzika. Suala la imani ya dini ni nyeti sana, ndani yake kuna wasio elewa na kuna wenye kuelewa lakini wakakosa hikma ama subra hasa linapo tokea jambo kama hilo. Kwa hiyo kwasasa kumtetea awe nje nikumuhatarishia maisha yake, acha wamuhifadhi kidogo kwa usalama wake na taifa kwa ujumla.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pombe halali kwenye uislam?
Hata agano la kale havifanani kwa sehemu kubwa sana.Mwanzo tu vinaanza kwa kutofautiana
Quran inasema kwamba uasi wa shetani ulianza alipokataa kumsujudia Adamu,Biblia ya agano la kale haisemi hivyo.
Ngamia na Sungura ni haramu katika agano la kale,kwa waislamu ni chakula halali.
Pombe iliruhusiwa agano la kale,kwenye Quran ni halali
Haya ni baadhi ya mambo machache ila yapo mengi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa kuna makosa matatu ya kisheria ambayo yote yanaingia kwenye majukumu ya serikali. Unapo vunja baadhi ya sheria za nchi basi moja kwa moja mwenye jukumu la kulalamika/kukushtaki ni jamuhuri kwa maana ya serikali. Kama huko nyuma kulitokea uvunjaji wa sheria kama hivi na hatua hazikuchukuliwa basi wakulaumiwa/kuwajibishwa ni wale waliokuwa wasimamizi wa sheria kwa wakati huo. Linapo kuja jambo la uvunjifu wa sheria/amani ni lazima lifuatiliwe kisheria, tusiende kimazoea. Inawezekana hata huyu amevunja sheria kwa sababu yalisha fanyika mambo kama hayo huko nyuma na maisha yakaendelea bila hatua zozote za kisheria kuchukuliwa. Tukiachana na mambo ya sheria za nchi kuna ubinadamu, hivi unadhani kama serikali isinge muweka ndani ni nini kingetokea. Yaani apite mtaani halafu watu wanamnyooshea vidole kwamba yule ndie aliye chana kitabu. Amini usiamini ndugu zake wangekwisha mzika. Suala la imani ya dini ni nyeti sana, ndani yake kuna wasio elewa na kuna wenye kuelewa lakini wakakosa hikma ama subra hasa linapo tokea jambo kama hilo. Kwa hiyo kwasasa kumtetea awe nje nikumuhatarishia maisha yake, acha wamuhifadhi kidogo kwa usalama wake na taifa kwa ujumla.
Kwenye sakata hili waislamu walitakiwa wafungue kesi wakiwa na uthibitisho wa hicho kitabu cha korani, ninaamini si kila kitabu cha waislamu ni korani. Hapa serikali itatakiwa ithibitishe kuwa kitabu husika aliandika Mungu na ni Mungu wa waislamu! Mkristu ambaye haijui Koran akiona maandishi yale kwake hayana tofauti na maandishi ya wahindi au waarabu ambayo si korani. Serikali inawezekana inajua korani jambo ambalo siamini itakuwa vigumu kwake kuthibitisha kuwa ni korani na si maandishi ya kiarabu labda tu iamue kuuridhisha upande wa wengi ili kuongeza kura.
 
Huwa najiuliza hawa waislamu WaTz wamewakosea nini nyinyi wakiristo WaTz. Baada ya manyanyaso yooote mnayowapa nankuwafanya raia wa daraja la pili lakini bado mna chuki nao. Mnatakajeeee????
 
Mfanano wetu unaanzia kwa
Adam.
Hawa.
Cain na abil.
Nuhu.
Lutwi
Ibrahim .
Isihaka
Ismail
Yakubu.
Yusuf
Musa
Issa [yesu]
Mpaka muhammad...
Wote hao walitajwa kwenye BIBLIA na QURAN pia imewataja.
Hao ni MITUME NA MANABII WA MUNGU.
kwanini hivi vitabu viwili VIFANANE?
Wakati kila kitabu kina lugha yake ya asili?
Achana na pombe,elezea hayo mengine.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani unatoa sababu MOJA tu ya majina ya watu kufanana kama ndio kigezo cha kufanana SANA kwa vitabu hivi!
Issa wa kwenye Quran ni tofauti na wa Biblia
Ibrahim wa agano la kale ajawahi kumpiga mawe shetani
Hao wengi wao uliowataja sio manabii kwa vigezo vya agano la kale na hata jipya.
Muhammad hajatajwa popote katika Biblia kwa sababu vitabu vya Biblia vilikuwepo miaka elfu nyingi kabla ya yeye kuwepo duniani.
Quran ilikuja miaka mingi baada ya kuwepo kwa Biblia kama kuna mambo yoyote yanayofanana yalinakiliwa kutoka katika Biblia.

Uzuri wa uislam kila kitu kipo katika maandiko, hukumu ya mtu kuchana quran ni kukatwa kichwa
Serikali kama serikali imechukua hatua ya kumnusuru yule mlevi kwa muda ili wale wanaharakati katika DINI jazba zao zipoe
Kisha hata akitoka watu watakuwa wameshapoa
Ila ukitaka kujua nguvu ya uislam hata ww muanzisha uzi jitokeze tu choma msahafu au kojolea msahafu kisha jitupie online alafu subiri kifuatacho ITV
MAREKANI, UFARANSA, UJERUMANI pamoja na ukafiri wao wote iko kitabu wanakiangalia tu macho kodo lakini awathubutu kukichoma wanajua waislam hukumu zao zipo katika kitabu chao awana sababu ya kusubiri mahakama,, mahakama itakuja kusimama na Quran sio waislam..

Sent using Jamii Forums mobile app

Mnachekesha sana nyie, huyo allah wenu anakuwa wapi wakati watu wanakojolea na kuchana hilo jarida lake mpaka nyinyi mshike mapanga kumtafuta mchanaji!!???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni maelezo marefu.
Nimekupigia screen shot.
USOME UENDA UTAELIMIKA
Yani unatoa sababu MOJA tu ya majina ya watu kufanana kama ndio kigezo cha kufanana SANA kwa vitabu hivi!
Issa wa kwenye Quran ni tofauti na wa Biblia
Ibrahim wa agano la kale ajawahi kumpiga mawe shetani
Hao wengi wao uliowataja sio manabii kwa vigezo vya agano la kale na hata jipya.
Muhammad hajatajwa popote katika Biblia kwa sababu vitabu vya Biblia vilikuwepo miaka elfu nyingi kabla ya yeye kuwepo duniani.
Quran ilikuja miaka mingi baada ya kuwepo kwa Biblia kama kuna mambo yoyote yanayofanana yalinakiliwa kutoka katika Biblia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot_20200209-112312.jpeg
Screenshot_20200209-112346.jpeg
Screenshot_20200209-112405.jpeg
Screenshot_20200209-112429.jpeg
Screenshot_20200209-112441.jpeg
Screenshot_20200209-112450.jpeg
Screenshot_20200209-112508.jpeg
Screenshot_20200209-112523.jpeg
Screenshot_20200209-112535.jpeg
Screenshot_20200209-112549.jpeg
Screenshot_20200209-112605.jpeg
Screenshot_20200209-112617.jpeg
Screenshot_20200209-112632.jpeg
Screenshot_20200209-112659.jpeg
Screenshot_20200209-112711.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli kwamba kila unapovunja sheria mlalamikaji lazima anakuwa serikali.
Kuna tofauti ya makosa ya jinai na madai,kajifunze tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
UNAPO VUNJA BAADHI YA SHERIA ZA NCHI. Sija andika ulivyoelewa wewe. Kama hiki kipengele hukukielewa basi wewe ndio unatakiwa ukajifunze kusoma na kuelewa usikurupuke.
 
Kwa mimi mtu akichana kitabu kitakatifu na kukitoa maana mimi wala siwezi kujali wala kumchukia huyo mtu kamwe ,

Labda huyo Mungu anaehusika hicho kitabu mwenyewe ajue namna ya kumhukumu.

Mungu anatakiwa ajitetee mwenyewe siyo kupiganiwa na wanadamu.

Mimi Mungu anayepiganiwa na wanadamu huwa napata mashaka na uwezo na nguvu zake.

Huyo mtu ni wa kumhurumia tu Mungu mwenyewe atajua naye amhurumie au amfanye nini

Sent using Jamii Forums mobile app

Hii point kubwa.
 
Back
Top Bottom