Blueboy Jr
JF-Expert Member
- Jan 9, 2024
- 523
- 857
Inasemekana baadhi ya wanaomdai wana kadi za gari zake, ila kuna baadhi ya watu wakikukopesha hutokaa ulipe mwisho wa siku wanachukua ulichoweka kama dhamana na mara nyingi huwa kina thamani zaidi ya kiasi ulichokopa.
Hapo simaanishi taasisi, nazungumzia pesa za kuchukua kwa watu binafsi.Hapo ndo wakopeshaji wanaoneka watu wabay lakn wabay ni ss tunakimbilia fedha bila elimu ya fedha inatumaliza sanaa
Hongera mkuu madeni ni mufilisi yanatesa sana hasa ukiwa huna mbinu nzuri ya kulipaR.I.P Msuya.
Nashukuru Mungu sina madeni zaidi ya Fees za watoto,madeni yasikie tu.
Hapo simaanishi taasisi, nazungumzia pesa za kuchukua kwa watu binafsi.
Naogopa sana madeni,Huwa nalipa haraka sana nikiwa na deni, may be labda coz mimi sio mfanyabiashara thus why.Hongera mkuu madeni ni mufilisi yanatesa sana hasa ukiwa huna mbinu nzuri ya kulipa
Wafanyabiashara wanapitia hali ngumu sana na wengi biashara wanaendesha kwa madeniNaogopa sana madeni,Huwa nalipa haraka sana nikiwa na deni, may be labda coz mimi sio mfanyabiashara thus why.
Mkuu ukiwa na uhitaji wa pesa utaweka tu dhamana hasa kadi za gari wapo wengi wanafanya hivyo na inawezekana hata yeye alifanya hivyo.Bora hat watu binafs maan weng hawachukui au kushikilia dhaman lkn bado tu madeni ni madeni tu mkuu.
Sana mkuu, usione mtu ana pesa na maisha mazuri mambo ni mengi, huyu mwamba nilikua namjua. Nawaza kwa nini asingeuza baadhi ya mali zake alipe madeni kama chanzo ni hicho.
Tanzania sasa hivi CHOCHOTE wanachosema polisi yetu MIMI huwa siamini unless niwe na habari za uhakika kutoka sources nyingine. Nasisitiza, CHOCHOTE kinachosemwa na polisi siku hizi huwa siamini. Polisi yetu siku hizi imekuwa kama kiwanda cha kupika uongo ili kuficha uhalifu.Unaamaini taarifa za polisi kwamba chanzo ni madeni?
Iko hivi kama mtu ana uchu wa fedha kiasi kwamba akizikosa anaweza kujiua. Huyu mtu ni hatari anaweza pia kuua wengine ili apate pesaSijakuelewa unachomaanisha mkuu
R.I.P Msuya.
Nashukuru Mungu sina madeni zaidi ya Fees za watoto,madeni yasikie tu.
Tanzania sasa hivi CHOCHOTE wanachosema polisi yetu MIMI huwa siamini unless niwe na habari za uhakika kutoka sources nyingine. Nasisitiza, CHOCHOTE kinachosemwa na polisi siku hizi huwa siamini. Polisi yetu siku hizi imekuwa kama kiwanda cha kupika uongo ili kuficha uhalifu.
Hilo kwake aliwezekani tena kashakufaIko hivi kama mtu ana uchu wa fedha kiasi kwamba akizikosa anaweza kujiua. Huyu mtu ni hatari anaweza pia kuua wengine ili apate pesa
Ndio sababu kuu iliyotajwa mkuuUnaamini taarifa za polisi kwamba chanzo ni madeni?
Ukishaona sawa kudaiwa pesa nyingi hata hizi ndogo ndogo utakopa tu...Mitandaoni kwa nchi yetu hakuna uwezo wa fedha nyingi
Mikopo ni hatari sana ni vile maisha yanatupeleka kwenye hali hiyo ila sio jambo la kuendekezaUkishaona sawa kudaiwa pesa nyingi hata hizi ndogo ndogo utakopa tu...
Kabla hajafa alikuwa na hizo akili, wapo wengiHilo kwake aliwezekani tena kashakufa