Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,825
- 113,411
- Thread starter
-
- #21
Huyu kaumaliza na mwendo kabisa, padri si yupo hai?Mbona kama wameipiga kama Padri kuwa amekimbia madeni na badae wakaja sema msongo wa mawazo ?
Anaway, hakuna kisichokuwa na mwisho
Kisa kuogopa aibu anaiingiza familia kwenye kipindi kigumu zaidi na laana.Mkuu uko sahihi kabisa. Mambo yakizidi dawa yake ni kuuza baadhi ya vitu na kulipa madeni. Matajiri hawalali kisa madeni.... kuna baadhi utakuta ni kama wanawafanyia kazi mabenki maana wameshakabidhi hati zote za nyumba na ardhi pamoja na kadi za magari. Shida inakuja ni ile mtu anaogopa aibu watu kumsema amefilisika.
Ndo maana matajiri wengi wa kibongo wakifa biashara nazo pia hufa. Madeni huwa ni mengi.Kisa kuogopa aibu anaiingiza familia kwenye kipindi kigumu zaidi na laana.
Angeuza tu mali zake aanze upya.
Utalii haulipi kama ivyoo leopard ana shikilia soko kutokana na yeye kuwa sio mtz so wateja ana wakamata juu kwa juuSiijui ac yake.
Nilichobaini wafanyabiashara wengi wa utalii pesa nyingi hawapigi kwenye utalii. Wengi wana magendo sana
Kumentain namba moja kazi sana asikwambie mtuMkuu uko sahihi kabisa. Mambo yakizidi dawa yake ni kuuza baadhi ya vitu na kulipa madeni. Matajiri hawalali kisa madeni.... kuna baadhi utakuta ni kama wanawafanyia kazi mabenki maana wameshakabidhi hati zote za nyumba na ardhi pamoja na kadi za magari. Shida inakuja ni ile mtu anaogopa aibu watu kumsema amefilisika.
ila si umeona namna story zinavyofananaHuyu kaumaliza na mwendo kabisa, padri si yupo hai?
MAgendo yapi yanahusiana na hii biashara.Siijui ac yake.
Nilichobaini wafanyabiashara wengi wa utalii pesa nyingi hawapigi kwenye utalii. Wengi wana magendo sana
Umasikini ni laana ukiuza mali unafilisika na madeni yanazidi. Watu wengi tunaishi na matatizo ya afya ya akili ila tunatofautiana tu hatua za ugonjwa.Sana mkuu, usione mtu ana pesa na maisha mazuri mambo ni mengi, huyu mwamba nilikua namjua. Nawaza kwa nini asingeuza baadhi ya mali zake alipe madeni kama chanzo ni hicho.
🤔🤔🤔🤔 Dipresheni.Mfanyabiashara wa utalii ajinyonga Moshi
Azizi Msuya (39), mkazi wa Sambarai, Moshi, amekutwa amefariki dunia nyumbani kwake Alhamisi, Oktoba 2, 2025, akidaiwa kujinyonga kwa kutumia kamba ya katani.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limethibitisha tukio hilo na kueleza kuwa uchunguzi wa awali umehusisha msongo wa mawazo uliotokana na madeni aliyokuwa akikabiliana nayo.
Msuya alikuwa akijihusisha na biashara ya kusafirisha watalii. Uchunguzi zaidi unaendelea.View attachment 3482567
Siasa imeathiri sana ubongo wako.Msikimbilie kuamini kwamba ni madeni yamepelekea kifo chake. Dig deeper.
Juzi kati padre kule Mafinga alitekwa polisi wakasema kisa ni madeni, polisi hao hao baadaye wamesema padre hana akili nzuri na wameamua kumfutia kesi.
Polisi sio wakuwaamini bila kuangalia upande wa pili.0
Kwa hio kifo hakitishi kuliko umasikini, unadaiwa mpaka wanaokudai wanasema wataanza kukubackfire ili kufidiafidia deni lao utafanyaje?Umaskini unatisha kuliko kifo
Ukiona umeanza kuuza mali zako ulipe madeni jua unaenda kufilisika Yani kuchachaMkuu uko sahihi kabisa. Mambo yakizidi dawa yake ni kuuza baadhi ya vitu na kulipa madeni. Matajiri hawalali kisa madeni.... kuna baadhi utakuta ni kama wanawafanyia kazi mabenki maana wameshakabidhi hati zote za nyumba na ardhi pamoja na kadi za magari. Shida inakuja ni ile mtu anaogopa aibu watu kumsema amefilisika.