Mfanyabiashara Said Mohammed Saad wa Home Shopping Center (GSM Foundation)

Ndugu yangu ukiona mtu anamali ujue kapita mapito mengi, hao anaowafanyizia hebu pata muda ujue walimdhulumu nini huyo baba wa watu.

Chamsingi nawewe tafuta vyako utunze familia yako na mkeo hao ya wengine waachie wenyewe.
 
Kikwete alimlea sana huyu mtu kisa ni mbia wa marafiki zake Wakina Rostam ambao ndiyo wapiga dili wakubwa Jpm tenda kazi kwa huyu mtu ni kipolo kilichobaki kwenye kazi yako.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Huyo jamaa alikuwa anafunga mitaa/barabara pale kariakoo na hakuna anaemgusa.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Hii kitu ya Zamani alaf chumvi 50/50....alaf Kuna mtu asiyemjua Saad ???kama sisi tunajua mnategemea kwenye system hawajui ?tunajifurah tu ...Juzi kuna Gazeti liliandika Kuhusu izi Mambo ....Kesho yake tuuu..."TUNAOMBA RADHI" maninaa

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Mnufaika wa bishara za huyu bwana
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Wakulaumiwa ni vyombo vyetu vya usalama, viko weak kiasi jamaa ya aina hii wanaweza kufanya watakalo.
Tusipo badili mfumo wa utawala basi tutegemee mazalio mengi ya aina hii.
Ilikuwa ukimgusa huyu jamaa zinapigwa simu kutoka kwa watu wakubwa nchini sijui sasa hivi?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Wana JF mimi niliwahi kuandika hapa JF kuhusu huyu jamaa amefanya mambo mengi shida ni kuwa anapata sapoti kubwa kutoka kwa RIZ1 naombeni mfuatilie.

Amefanya uhalifu wa kupindukia na serikali hii pamoja na viongozi wakuu wa taasisi muhimu kama TRA commissioner anamfahamu vizuri huyu jamaa na anamsupport, IGP anamsupport na wengine katika idara nyeti.

Labda wana JF tuambiane nini tufanye kukabiliana na uhalifu wa huyu jamaa maana TRA hawawezi kumfuata maana commissioner general ni mtu wake IGP hivyo hivyo sasa tunafanyaje.
Jpm atake action kwa huyu mtu kikwete alikuwa anamlea.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kikwete alimlea sana huyu mtu kisa ni mbia wa marafiki zake Wakina Rostam ambao ndiyo wapiga dili wakubwa Jpm tenda kazi kwa huyu mtu ni kipolo kilichobaki kwenye kazi yako.
Sasa kama ndio wanamlea bashite unadhani hapo kuna kazi.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Hivi Saidi yuko wapi? Anaendeleaje na ile tindikali aisee watu mnajua kufukunyua nilishaisahau hii stori
 
Hakuna cha majungu wala nini.

Hii habari ni ya kweli. Ninawaomba waandishi wa habari wale ambao huwa hawana tamaa ya mlungula wafuatilie haya mambo polisi na kutafuta wale wahusika wote waliopigwa risasi ili ukweli ujulikane kwa umma. Watu wa aina hii hawatakiwi Tanzania hii.

Ndiyo maana tunahitaji rais atoke tena chama kingine ili kwanza awashughulikie criminals wote na wahamishwe nchini. Kwanza kabisa waweke katika katiba mpya kuwa investor yeyote akihusika na criminal acticvities apigwe PI na mali zake zichukuliwe na serikali. Mbona huko nchi za wengine PI zipo, Tanzania ni shamba la bibi au.

Watanzania tuamke, saa ya ukombozi ni sasa! Nimeumia sana kwa kusoma habari hii.

Goooo night with tears! I love my country!!
Mkuu kama ni kweli umetisha
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom