Mfanyabiashara Said Mohammed Saad wa Home Shopping Center (GSM Foundation)

JAMAA AMEANDIKA

Kundi hilo linalojulikana kama Ze Popobawa ndilo ambalo Agosti mwaka huu lilitumika kumteka nyara Mlebanoni mfanyabiashara ambaye ana duka la vitu vya ndani Mtaa wa Morogoro karibu na makutano ya barabara za Morogoro na Bibi Titi na baadaye kumwingilia kinyume cha maumbile kisha kumpeleka kwa nguvu Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere kumrejesha kwao Yemen kinyume cha taratibu

RAIA WA LEBANON KARUDISHWA KWAO YEMEN

KAZI IPO
....tena myemeni mwenzie na huku kashafumuliwa marinda!!! Duu!!! Kuna wana roho za kinyama hatari!!!!
 
Kwani ni series ya kikorea hii?? Kina Jumong?
hujakosea uyo jamaa ni wakuuwawa kabisaaa
Tunarudia yale yale....utawala wa Kikwete ulikuwa ni utawala wa kishetani kwani Kikwete na genge lake kwa makasudi tu walikuwa wanafumbia macho maovu yatendwayo na magenge yake. Wanasema Tanzania hatuna uraia pacha, mbona huyu jamaa anao na si yeye tu? Jibu, huyu jamaa ni mwana mtandao. Inawezekanaje mtu tena raia mgeni anaishi hapa Tanzania na kutesa ndugu zetu bila kuchukuliwa hatua, yaani tumekuwa Kenya mgeni kumyanyasa raia huku akichekelewa? Tanzania tuwe tunaruhusiwa kuua watu kama hawa, yaani mtu ampige risasi mtoto wangu alafu aachiliwe huru? No fucking way...lazima niue tena mgeni, huyo simwachii. Tanzania tulimuhitaji Magufuli kuja kuondoa uzezeta wetu kwani hata kama rais angekuwa Lowassa asingefanya haya afanyayo Magufuli kwa sababu angekuja na kulipizia visasi na hata huyo jangili Rostam asingemakamata kwani ni mshikaji wake.
 
Duuuuh...
Tanzania Tanzania...
Nakupenda kwa moyo wote...
Inch yangu Tanzania...
Jina lako ni tamu sana....
[HASHTAG]#nchi[/HASHTAG] yangu hiyo#
 
GSM ni mtandao mkubwa sana wenye mizizi iliyoota kila kona ya nchii hii.Kamwe haitoguswa na mtu yeyote kama Kuna ambaye haamini maneno yangu akisikia imezungumziwa ama kutikiswa kwa namna yoyote ile anichome mkuki mk...ni.That is all...
 
Nadhani gramat
JAMAA AMEANDIKA

Kundi hilo linalojulikana kama Ze Popobawa ndilo ambalo Agosti mwaka huu lilitumika kumteka nyara Mlebanoni mfanyabiashara ambaye ana duka la vitu vya ndani Mtaa wa Morogoro karibu na makutano ya barabara za Morogoro na Bibi Titi na baadaye kumwingilia kinyume cha maumbile kisha kumpeleka kwa nguvu Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere kumrejesha kwao Yemen kinyume cha taratibu

RAIA WA LEBANON KARUDISHWA KWAO YEMEN

KAZI IPO
I think he made a grammatical Error
 
GSM ni mtandao mkubwa sana wenye mizizi iliyoota kila kona ya nchii hii.Kamwe haitoguswa na mtu yeyote kama Kuna ambaye haamini maneno yangu akisikia imezungumziwa ama kutikiswa kwa namna yoyote ile anichome mkuki mk...ni.That is all...

Kama makonda na saga ya vyeti inakuwa Ngumu,huyo anaguswaje?
 
Kama kweli wameamua kupapambana Drugs Lords hawa GSM inabidi washughulikiwe haraka.
Tuma huu uzi kwa kamishina tuone kama kweli wanania ya dhati kupambana na dawa za kulevya.
Mbona mnawasema hivi, si nasikia wana foundation kama ile iliyozinduliwa juzi na mstaafu ikisaidia sana watu!
 
Hakuna cha majungu wala nini.

Hii habari ni ya kweli. Ninawaomba waandishi wa habari wale ambao huwa hawana tamaa ya mlungula wafuatilie haya mambo polisi na kutafuta wale wahusika wote waliopigwa risasi ili ukweli ujulikane kwa umma. Watu wa aina hii hawatakiwi Tanzania hii.

Ndiyo maana tunahitaji rais atoke tena chama kingine ili kwanza awashughulikie criminals wote na wahamishwe nchini. Kwanza kabisa waweke katika katiba mpya kuwa investor yeyote akihusika na criminal acticvities apigwe PI na mali zake zichukuliwe na serikali. Mbona huko nchi za wengine PI zipo, Tanzania ni shamba la bibi au.

Watanzania tuamke, saa ya ukombozi ni sasa! Nimeumia sana kwa kusoma habari hii.

Goooo night with tears! I love my country!!
Umeongea vizuri lakini unaharibu kuwa Rais atoke chama tofauti. Magic akipata info anamshughulikia
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom