Mfanyabiashara Patrick Moshi, amwomba Rais Magufuli msaada

Mfanyabiashara Patrick Moshi, amwomba Rais Magufuli msaada

Mfanyabiashara Patrick Moshi maarufu kwa jina la Patco aliekuwa anamiliki maduka lukuki pamoja na vituo vya mafuta katika jiji la Dar es Salaam amemwomba Rais Magufuli kuingilia kati mgogoro wake na taasisi moja ya fedha hapa nchini.

Akiongea na EFM jinini Dar es Salaam amesema mgogoro huo uliodumu kwa zaidi ya miaka mitatu umemsababishia hasara ya zaidi ya Bilioni 4 napia amepata madhara ya kiafya ikiwemo kupata ugonjwa wa kiharusi. Amemuomba Rais kuingilia mgogoro huo ili aweze kupata haki yake.
Huyuu SIO YULE MZEE WA SHISSSSS...ALIEKUWA NA MABP PALE AIRPORT NA MWENGE EMBU NIJUE KABLA SIJAENDA KUMWOMBEA MSAADA KWA MH
 
hakuna watu siwapendi kama matajiri, wakishakuwa na vimagari vyao , basi wanaona watembea kwa miguu ni wapumbavu , tena wachaga wabinafsi sana, afilisiwe aje kuuza machinga kariakoo, tanzania ni nchi ya kijamaa sio kibepari, unadai bilioni wakati watanzania wenzako hata ela ya kula ni shida, utakuta hajawahi hata kusaidia masikini
 
Unamfamu mkuu?
MKUUU KACHEXEA MAISHA MWACHE YAMCHEXEE JAMAA ALIKUWA NA HELA SEMA ALIZUNGUKWA NA WAHUNI KILA KONA MALIFIST AMBAOO WALIPOONA JAMAA AMEANZA NYANGANYWA KIMJA KIMOJA WAKAMKIMBIA WOTE TRUST M
 
Huyu ni atakuwa ni mchagga itabidi uchunguze mali alizipata wapi maana wengi wao ni hatari sana
 
Haya bana.Mm sina la kusema ila ukiona kidume kinatoa choz basi jua kime taitiwa na ukiweza toa tu msaada.Utajir unatafutwa kwa nguvu sana.Ukiwa mzembe sahau kumilik midude ya maana hata kama ni muadilifu kiasi gani.
 
Halafu Mosha? na alivyo na negative attitute kwa hilo kabila!! Pole sana...Labda atafanya ili kujiondoa katika fikra zetu

Jamani mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Patrick Moshi ni nani? Tusimuonee ila haki itawale..
Jamii yetu inapenda sana kuwa na wrong role models
 
Back
Top Bottom