Mfanyabiashara Patrick Moshi, amwomba Rais Magufuli msaada

Mfanyabiashara Patrick Moshi, amwomba Rais Magufuli msaada

Mina nakupendea hiki tu..huwa hupepesi..aibu sana dume zima kupiga mbinja utajiri wa mwanaume mwenzake..mm ht hawa wenye gari zao wakitumwagiaga maji road maskini naona sawa tu..utajiri unatafutwabkwa ngv kubwa sana na kujibana sana .anakuja ndezi pori anaandika ujinga!
Mwingine anapenda alie juu ashushwe chini,yaani bora tukose wote
 
Napenda nimpongeze Suleiman Jaffo kwa maamuzi aliyoyafanya hapo jana./nadhani watendaji wake wamechangia sana kusababisha zoezi likaonekana kama limekuwa haramu./
 
Back
Top Bottom