ommy15
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 674
- 1,021
Masikini kwa roho mbaya hadi shetani anatuogopa.Huyu jamaa alikuwa ni fisadi mkubwa Afilisiwe kabisa,pia atolee maelezo mali zake alizipataje pataje from a to z.
Masikini kwa roho mbaya hadi shetani anatuogopa.Huyu jamaa alikuwa ni fisadi mkubwa Afilisiwe kabisa,pia atolee maelezo mali zake alizipataje pataje from a to z.
Ukiwa tayari unambieSina..ninunulie
Ukiwa tayari unambie
Halafu mchaga 🤣🤣
Pale Mpalestina anapoomba msaada kwa Myahudi
Mfanyabiashara Patrick Moshi maarufu kwa jina la Patco aliekuwa anamiliki maduka lukuki pamoja na vituo vya mafuta katika jiji la Dar es Salaam amemwomba Rais Magufuli kuingilia kati mgogoro wake na taasisi moja ya fedha hapa nchini.
Akiongea na EFM jijini Dar es Salaam amesema mgogoro huo uliodumu kwa zaidi ya miaka mitatu umemsababishia hasara ya zaidi ya Bilioni 4 na pia amepata madhara ya kiafya ikiwemo kupata ugonjwa wa kiharusi. Amemuomba Rais kuingilia mgogoro huo ili aweze kupata haki yake.
mkuu nipo hapa kama wa kukushughulikia unamtafutaAhhaa kumbe unaumia eh?sijaolewa natafta mume..ukisikia nisaidie pls
Duu,yaani unaacha kupambana na hali yako unataka tajiri ashushwe chini mjekuuza wote mchicha?kwani mtu kuwa na gari ni dhambi?je wewe ulishajaribu kutafuta pesa ili na wewe uwe nayo ukashindwa?au unabeba magunia ya viazi kariakoo shimoni ndio unajua unatafuta pesa.Mimi nilidhani ukiwa maskini ukimwoma tajiri usikie wivu wa maendeleo kuwa na Mimi nifanyeje nitoke matokeo yake unalalamika eti nikitembea kwa miguu gari zinanimwagia maji ulitaka zikumwagie supu au?najuta kuwa raia tunaemiliki nchi moja na mtu mwenye akili za namna hii,ulitakiwa uishi somalia wewehakuna watu siwapendi kama matajiri, wakishakuwa na vimagari vyao , basi wanaona watembea kwa miguu ni wapumbavu , tena wachaga wabinafsi sana, afilisiwe aje kuuza machinga kariakoo, tanzania ni nchi ya kijamaa sio kibepari, unadai bilioni wakati watanzania wenzako hata ela ya kula ni shida, utakuta hajawahi hata kusaidia masikini
Duu,yaani unaacha kupambana na hali yako unataka tajiri ashushwe chini mjekuuza wote mchicha?kwani mtu kuwa na gari ni dhambi?je wewe ulishajaribu kutafuta pesa ili na wewe uwe nayo ukashindwa?au unabeba magunia ya viazi kariakoo shimoni ndio unajua unatafuta pesa.Mimi nilidhani ukiwa maskini ukimwoma tajiri usikie wivu wa maendeleo kuwa na Mimi nifanyeje nitoke matokeo yake unalalamika eti nikitembea kwa miguu gari zinanimwagia maji ulitaka zikumwagie supu au?najuta kuwa raia tunaemiliki nchi moja na mtu mwenye akili za namna hii,ulitakiwa uishi somalia wewe
Ukiona hivyo jua maji yamefika kooniPale Mpalestina anapoomba msaada kwa Myahudi
Kama alikopa benki! Alipe tu
Ova
na wewe elezea imekuaje ukawa fukara ilhali wanaume wenzio wana ela
Duhhakuna watu siwapendi kama matajiri, wakishakuwa na vimagari vyao , basi wanaona watembea kwa miguu ni wapumbavu , tena wachaga wabinafsi sana, afilisiwe aje kuuza machinga kariakoo, tanzania ni nchi ya kijamaa sio kibepari, unadai bilioni wakati watanzania wenzako hata ela ya kula ni shida, utakuta hajawahi hata kusaidia masikini
MKUUU KACHEXEA MAISHA MWACHE YAMCHEXEE JAMAA ALIKUWA NA HELA SEMA ALIZUNGUKWA NA WAHUNI KILA KONA MALIFIST AMBAOO WALIPOONA JAMAA AMEANZA NYANGANYWA KIMJA KIMOJA WAKAMKIMBIA WOTE TRUST M
Waswahili mna nongwaPale Mpalestina anapoomba msaada kwa Myahudi

Yote yanayomtokea Patco ni changamoto za maisha..kuna kupanda na kushuka..katika mtiririko wa kushuka kifedha hata mkewe(mrembo kweli kweli) alimkimbia... biashara zake...supermaket tangi bovu(iliyokuwa ya kishimba) ikafilisika,supermarket posta mpya benjamin mkapa tower ikafilisika...kituo cha mafuta(puma) sinza na airport vyote akanyanganywa...ila kwa ninavyomjua anaweza toboa tena kama afya itamruhusu.