Mfanyabiashara Patrick Moshi, amwomba Rais Magufuli msaada

Ukishakuwa na vihela hata vya kununua vits lazima uchukiwe. Watu wanapenda tuteseke pamoja
Tatizo mswahili akiwa na hela wanakuwa na dharau kiburi jeuli wanajiona wao ndiyo bora kuliko wengine
 
Watanzania = wivu, unafiki, roho mbaya, roho ya kimaskini, wengi kukosa exposure ya mambo mengi duniani, kutotaka kujifunza mambo mapya kwa waliofanikiwa, majungu hizi ndio sifa za watanzania.
Ukiishi na mtanzania nyumba moja ya kupanga ukiwa unakula nyama matunda, wali, maini, maziwa, mayai , wana chukia sana
 
Mina nakupendea hiki tu..huwa hupepesi..aibu sana dume zima kupiga mbinja utajiri wa mwanaume mwenzake..mm ht hawa wenye gari zao wakitumwagiaga maji road maskini naona sawa tu..utajiri unatafutwabkwa ngv kubwa sana na kujibana sana .anakuja ndezi pori anaandika ujinga!
Kabisa hakuna tajiri aliyepata mali kindezi ndezi,lazima alipambana kweli kweli,iwe jua au mvua,kwa shoka au kwa rungu ,legally or illegally na kupata mkwanja,hauwezi kupata pesa easy easy tu na story za kuanza na mtaji wa elfu 10 au kama ngonjera za kina ontario nimeanza na laki na 20,waliotusua kifedha kamwe hawezi kukwambia kwamba alicheza rafu flani na kupata pesa atakudanganya tu nilianza kuuza mahindi mara mchele na bla bla kibao!! Nazungumzia Fortune na Sio "UTAJIRI WA KIBONGO - Kumiliki vyumba viwili na gari ndogo"
 
Aahaa hawa ndo watanzania...mie nasemaga siku zote kw hali hii matajiri watabaki.wakuhesabu...yaan tuna wivu wa ajabu mnoo..mkuu hebu ikatae hyo roho!

Mkuu kuna watu humu huwa hawanielewagi. Hata hivyo sio lazima wanielewe.

Kila siku nasema Usikubali kuoa au kuolewa na Masikini.

Masikini wanawivu, unafiki, husda, Fitina, Hawana shukrani n.k.

Mimi Masikini akija kuniomba Msaada. Nikimsaidia lazima ni mdhulumu.

Dawa ya masikini ni kumdhulumu tuu. Ili akafie mbali huko.

Ukimsaidia Masikini atataka akupindue ili akae yeye pale ulipo au akuzidi kabisa. Atakufanyia fitina na kutaka kujua mali zako unapataje. Badala ya kujifunza unavyochapa kazi bila kulala.

Huyo Jamaa aliyetoa maoni yake ni Masikini hana la maana isipokuwa uhai wake tuu. Mpuuze tuu!

Ndio maana mimi napenda mwanamke anayependa wanaume wenye hela. Hiyo ni dalili ya ukomavu na kujitambua.

Bara la Afrika ni bara masikini. Ndio maana watu wake wengi wao wapo hivyo kama mto comment.

Mpuuze
 
Wivu wa kipumbavu huo wee kile ki passo chako kekundu ndo unajiona mjanja sio.
hakuna watu siwapendi kama matajiri, wakishakuwa na vimagari vyao , basi wanaona watembea kwa miguu ni wapumbavu , tena wachaga wabinafsi sana, afilisiwe aje kuuza machinga kariakoo, tanzania ni nchi ya kijamaa sio kibepari, unadai bilioni wakati watanzania wenzako hata ela ya kula ni shida, utakuta hajawahi hata kusaidia masikini
 
Mkuu kuna watu humu huwa hawanielewagi. Hata hivyo sio lazima wanielewe.

Kila siku nasema Usikubali kuoa au kuolewa na Masikini.

Masikini wanawivu, unafiki, husda, Fitina, Hawana shukrani n.k.

Mimi Masikini akija kuniomba Msaada. Nikimsaidia lazima ni mdhulumu.

Dawa ya masikini ni kumdhulumu tuu. Ili akafie mbali huko.

Ukimsaidia Masikini atataka akupindue ili akae yeye pale ulipo au akuzidi kabisa. Atakufanyia fitina na kutaka kujua mali zako unapataje. Badala ya kujifunza unavyochapa kazi bila kulala.

Huyo Jamaa aliyetoa maoni yake ni Masikini hana la maana isipokuwa uhai wake tuu. Mpuuze tuu!

Ndio maana mimi napenda mwanamke anayependa wanaume wenye hela. Hiyo ni dalili ya ukomavu na kujitambua.

Bara la Afrika ni bara masikini. Ndio maana watu wake wengi wao wapo hivyo kama mto comment.

Mpuuze

On a serious note baadhi ya wanajf ni kwikwi..mimi juz nimesema tu kuwa ukikaa kwa umakini ukaangalia biashara ya kujenga nyumba then ukapangaisha kwa mwezi laki 2/ni biashara kichaa biashara mfu...!kuna baadhi ya mishe ukizifanya kwa siku unapata huo faida ya 200k..weeee....wenye vinyingo vyaowakajazana🤣🤣bahat nzuri rrondo akanifata pm..akaniambia umesahau eh jf🤣🤣!watu wanataka kusikia habari mbaya mbaya tu ...za majuto na mateso!mie km nimewah mfurahia tajiri akianguka sikumbuki aisee!...nimekua na tabia kila nikiona mtu amefanikiwa nafanya juu chini kbs kwa ngv zote uwe rafiki yangu....kuna jamaa mmoja i met nov jaman amefanikiwa na unamuona anavyoongea ana amani ya nafsi...!yuko very postive...!hii ni roho ya ajabu sana sana jaman!...mie niko radhi nitumi hela ili nipate hela!eish binafsi nimekuelewa! Alwys nasema Mungu anipe afya njema!baaasi!mtanionaga you tube tu jinsi nilivyoanza na nilopofika😐😐!/hu mu lazima ntapotea!
 
Kabisa hakuna tajiri aliyepata mali kindezi ndezi,lazima alipambana kweli kweli,iwe jua au mvua,kwa shoka au kwa rungu ,legally or illegally na kupata mkwanja,hauwezi kupata pesa easy easy tu na story za kuanza na mtaji wa elfu 10 au kama ngonjera za kina ontario nimeanza na laki na 20,waliotusua kifedha kamwe hawezi kukwambia kwamba alicheza rafu flani na kupata pesa atakudanganya tu nilianza kuuza mahindi mara mchele na bla bla kibao!! Nazungumzia Fortune na Sio "UTAJIRI WA KIBONGO - Kumiliki vyumba viwili na gari ndogo"

Lakini best sio wote wanafanya mambo nyuma ya karpet....mie nna kamsemo kamoja tu ndo kananipaga nguvu saana...km una mikono miwili na miguu miwili na akili safi ww ni tajiri!hyo tu!bongo noma jamani
 
On a serious note baadhi ya wanajf ni kwikwi..mimi juz nimesema tu kuwa ukikaa kwa umakini ukaangalia biashara ya kujenga nyumba then ukapangaisha kwa mwezi laki 2/ni biashara kichaa biashara mfu...!kuna baadhi ya mishe ukizifanya kwa siku unapata huo faida ya 200k..weeee....wenye vinyingo vyaowakajazana🤣🤣bahat nzuri rrondo akanifata pm..akaniambia umesahau eh jf🤣🤣!watu wanataka kusikia habari mbaya mbaya tu ...za majuto na mateso!mie km nimewah mfurahia tajiri akianguka sikumbuki aisee!...nimekua na tabia kila nikiona mtu amefanikiwa nafanya juu chini kbs kwa ngv zote uwe rafiki yangu....kuna jamaa mmoja i met nov jaman amefanikiwa na unamuona anavyoongea ana amani ya nafsi...!yuko very postive...!hii ni roho ya ajabu sana sana jaman!...mie niko radhi nitumi hela ili nipate hela!eish binafsi nimekuelewa! Alwys nasema Mungu anipe afya njema!baaasi!mtanionaga you tube tu jinsi nilivyoanza na nilopofika😐😐!/hu mu lazima ntapotea!

Makini Sana.

Lakini huku usipotee. Huku napo ni muhimu sana.

Baba yangu anamiliki kampuni moja kubwa la Ukandarasi aliwahi kunambia; Usiruhusu akujue vizuri wala mazoea. Mtu akikujua atakuonea wivu. Mwisho wa kunukuu.

Hata ndugu na marafiki ndio watu wa awali kukukwamisha linapokuja suala la maendeleo
 
Sure..tht its a very big mistake!tunajifunza kutokana na makosa!all the best!
 
Kumbe mgogoro umeanza miaka 3 iliyopita,inamaanisha ni wakati huu wa Jiwe akiwashughulikia Matajiri.
Sasa Brother Moshi unategemea nini?
 
Duu,yaani unaacha kupambana na hali yako unataka tajiri ashushwe chini mjekuuza wote mchicha?kwani mtu kuwa na gari ni dhambi?je wewe ulishajaribu kutafuta pesa ili na wewe uwe nayo ukashindwa?au unabeba magunia ya viazi kariakoo shimoni ndio unajua unatafuta pesa.Mimi nilidhani ukiwa maskini ukimwoma tajiri usikie wivu wa maendeleo kuwa na Mimi nifanyeje nitoke matokeo yake unalalamika eti nikitembea kwa miguu gari zinanimwagia maji ulitaka zikumwagie supu au?najuta kuwa raia tunaemiliki nchi moja na mtu mwenye akili za namna hii,ulitakiwa uishi somalia wewe
Huku Somalia hatumtaki labda apelekwe kwa kina MK254.
 
NB:Ukiwa tajiri na una asili ya kaskazini a.k.a mchanga automatically wewe ni adui wa jamaa.
 
Back
Top Bottom