Mfanyabiashara Matei apata ajali na kufariki

ALLEX

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2011
Posts
2,006
Reaction score
346
Nimepata habari mfanyabiashara Matei mwenye Mateo Pub kapata ajali mbaya na kupoteza Uhai.

Mwenye taarifa zaidi atujuze;

---------------------

UPDATES;

Kuna taarifa kuwa katika ajali hiyo pia amefariki Wakili wa kujitegemea ambaye pia ni mwalimu wa Business Law wa Chuo Kikuu cha St. John's hapo Dodoma Bwana Joshua Oguda, mwenye taarifa zaidi atujuze tafadhali











 
Ni kweli, nimepita mda si mrefu ni vilio tupu pale baani kwake

RIP MATHEI
 
Mateo pub ya wapi mleta mada? Arusha, mbeya au?
 
Poleni sana watu wa Dom marafiki na Familia take kwa ujumla.
TO SOOM RIP MATEI
 
Dah napafahamu bana. RIP na pole wafiwa wote.
 
Tatizo ni kukimbiza kuweka picha za umauti za marehemu.

RIP Matei
 
HAwajaweka naona Dom sikama Bukoba
 
nilikuwepo pale pub kama wiki tatu zilizopita,nilikuwa dom kwenye semina,luna kabaamedi kamoja karefu kembamba,..nilikapenda bure kwa huduma yake!
 
Nipo hapa nyumbani kwake area e karibu na bar yake .ni vilio tu .rip bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…