Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 4,124
- 6,141
Uwepo wa informal sector na watumiaji wachache wa bank ni changamoto na tatizo kubwa sana Tanzania., Nikiwa Rais wa Tanzania ntafanya mambo yafuatayo kuondoa informal sector, kuongeza formal sector na kuongeza watumiaji wa bank
SIFA ZA HAO WAFANYAKAZI
MCHANGANUO NI KAMA UFUATAO
FAIDA ZA KUWA NA FORMAL SECTOR KUBWA
FAIDA ZA KUWA NA WATU WENGI WENYE ACCOUNT BANK
RIBA KWA WAFANYAKAZI
Mfanyakazi Mshahara wake ambaye unapitia bank zaidi ya mwaka atakuwa eligible kwa mkopo wa riba asilimia 6 na kushuka chini.
SIFA ZA HAO WAFANYAKAZI
- Lazima mishahara yao iwe inapitia bank zaidi ya mwaka mmoja
- Kiwango cha chini cha mshahara ni sh elfu 50 na kuendelea
MCHANGANUO NI KAMA UFUATAO
- Wafanyabiashara watakao ajiri mfanyakazi mmoja mpaka watano watapata riba asilimia 8 na kushuka chini kwenye bank za kibiashara
- Wafanyabiashara watakao ajiri Wafanyakazi sita mpaka 50 watapata riba asilimia 6 na kushuka chini kwenye bank za biashara
- Wafanyabiashara watakao ajiri Wafanyakazi zaidi ya 50 watapata riba asilimia 4 na kushuka chini kwenye bank za biashara
FAIDA ZA KUWA NA FORMAL SECTOR KUBWA
- Kuongeza wigo wa kodi kwa serikali
- Kuondoa wamachinga
- Kuongeza wigo wa mapato ambayo siyo ya kodi
FAIDA ZA KUWA NA WATU WENGI WENYE ACCOUNT BANK
- Kuwa na wepesi wa kuwapa mortgage (mikopo ya nyumba) watu, sababu moja ya mambo ntakayoyafanya ni kuondoa informal sector kwa hiyo kuondoa squatter ni kuwezesha mikopo ya nyumba kuwa rahisi kuipata
- Kuwa na wepesi kwenye ku-implement monetary policy
RIBA KWA WAFANYAKAZI
Mfanyakazi Mshahara wake ambaye unapitia bank zaidi ya mwaka atakuwa eligible kwa mkopo wa riba asilimia 6 na kushuka chini.