mkuu trafik anakagua gari anakosa kosa lolote badae anakwambia mkuu niamshe sijanywa chai! sasa hapo unafanyaje?
Maisha ya kitz ni ya kusaidiana,
mkuu trafik anakagua gari anakosa kosa lolote badae anakwambia mkuu niamshe sijanywa chai! sasa hapo unafanyaje?
JWTZ wanakulaje rushwa?
Walivuka mipaka wakawa wanawalazimisha wanafunzi kutoa hyo pesa na Kama Hana anaadhibiwa ndio maana ikazuiliwa.Kwani hiyo ni rushwa?Hiyo ni extra duty allowance inayolipwa na mzazi kwa mwalimu anayemfundisha mtoto wake,japo imekatazwa.
Mfanyabiashara na Mmiliki wa Mabasi ya kusafirisha abiria mikoani kutoka kampuni ya KIMOTCO ,Benedict Mberesero,amewalalamikia askari wa usalama barabarani katika Jiji la Arusha,kwa vitendo vya Rushwa iliyokithiri akidai wamegeuka mamlaka ya mapato TRA.
Akiongea katika kikao cha wadau wa usafirishaji jijini Arusha,mbele ya Kamanda wa Kikosi cha usalama barabarani Nchini,(SACP)Futunatus Musilimu, alimshutumu Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani Mkoa wa Arusha ,RTO Joseph Bukombe kuwa amekuwa kinara kwa kuongoza kikosi cha askari kukusanya Rushwa kutoka kwa wasafirishaji .
Amedai kuwa vibanda vya ukaguzi wa mabasi katika eneo la kituo kikuu cha mabasi jijini hapa ,vimegeuka vibanda vya kukusanya Rushwa kwa mabasi mbalimbali yanayoelekea mikoani na fedha hizo huwasilishwa kwa wakubwa .
"Napenda niseme ya Moyoni naona watu wamekuwa waoga kusema ,ukweli ni kwamba suala la Rushwa ni kubwa kwa Trafiki hapa Arusha naomba uchunguze mwenyewe ujionee" Alisema Ben
Aliongeza kuwa hivi karibuni alibambikiwa kesi ya matumizi mabaya ya Silaha ambapo alipigwa na askari wa usalama barabarani na kutupwa selo kituo cha Polisi kwa makosa aliyodai ni ya usalama barabarani.
"Namshukuru RPC alilishughulikia suala langu na bila yeye bila shaka ningekuwa nimefungwa kwa kubambikiwa kesi za uongo kwani si kweli kwamba Mimi nilitishia askari kwa silaha" Alisema .
Alimtuhumu RTO Bukombe kutoa ushirikiano pindi anapopigiwa Simu kwa nia ya kuomba msaada.
Akijibu hoja hizo ,RTO Bukombe Alisema tuhuma zilizoelekezwa kwake hazina ukweli Bali ni chiki zilizolenga kumchafua.
Alisema mabasi ya Kimotco yanaongoza kwa kuvunja sheria za usalama barabarani na pindi anapochukua hatua inaonekana kwamba RTO Bukombe mbaya na kuanza kumchafua kwa kusema askari anawatuma kukusanya Rushwa.
Ends.....View attachment 1145584
Wananchi waache kulalamika vichochoroni au kwenye majukwaa peke yake. Kila wilaya ina PCCB kwanini hatoi taarifa huko. Mbona kila siku polisi wala rushwa wanakamatwa a hao PCCB. Ukizoea sana kulalamika huoni hata mabadiliko yaliyo wazi. Huyu jamaa angeripoti PCCB wasingebishana na afande hapo kama tuhuma zake ni za kweli na kama hakuna chuki binafsiMfanyabiashara na Mmiliki wa Mabasi ya kusafirisha abiria mikoani kutoka kampuni ya KIMOTCO ,Benedict Mberesero,amewalalamikia askari wa usalama barabarani katika Jiji la Arusha,kwa vitendo vya Rushwa iliyokithiri akidai wamegeuka mamlaka ya mapato TRA.
Akiongea katika kikao cha wadau wa usafirishaji jijini Arusha,mbele ya Kamanda wa Kikosi cha usalama barabarani Nchini,(SACP)Futunatus Musilimu, alimshutumu Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani Mkoa wa Arusha ,RTO Joseph Bukombe kuwa amekuwa kinara kwa kuongoza kikosi cha askari kukusanya Rushwa kutoka kwa wasafirishaji .
Amedai kuwa vibanda vya ukaguzi wa mabasi katika eneo la kituo kikuu cha mabasi jijini hapa ,vimegeuka vibanda vya kukusanya Rushwa kwa mabasi mbalimbali yanayoelekea mikoani na fedha hizo huwasilishwa kwa wakubwa .
"Napenda niseme ya Moyoni naona watu wamekuwa waoga kusema ,ukweli ni kwamba suala la Rushwa ni kubwa kwa Trafiki hapa Arusha naomba uchunguze mwenyewe ujionee" Alisema Ben
Aliongeza kuwa hivi karibuni alibambikiwa kesi ya matumizi mabaya ya Silaha ambapo alipigwa na askari wa usalama barabarani na kutupwa selo kituo cha Polisi kwa makosa aliyodai ni ya usalama barabarani.
"Namshukuru RPC alilishughulikia suala langu na bila yeye bila shaka ningekuwa nimefungwa kwa kubambikiwa kesi za uongo kwani si kweli kwamba Mimi nilitishia askari kwa silaha" Alisema .
Alimtuhumu RTO Bukombe kutoa ushirikiano pindi anapopigiwa Simu kwa nia ya kuomba msaada.
Akijibu hoja hizo ,RTO Bukombe Alisema tuhuma zilizoelekezwa kwake hazina ukweli Bali ni chiki zilizolenga kumchafua.
Alisema mabasi ya Kimotco yanaongoza kwa kuvunja sheria za usalama barabarani na pindi anapochukua hatua inaonekana kwamba RTO Bukombe mbaya na kuanza kumchafua kwa kusema askari anawatuma kukusanya Rushwa.
Ends.....View attachment 1145584
Wananchi wengi bado hawana confidence ya kwenda kutoa taarifa hata kwa viongozi wao.Mfanyabiashara na Mmiliki wa Mabasi ya kusafirisha abiria mikoani kutoka kampuni ya KIMOTCO ,Benedict Mberesero,amewalalamikia askari wa usalama barabarani katika Jiji la Arusha,kwa vitendo vya Rushwa iliyokithiri akidai wamegeuka mamlaka ya mapato TRA.
Akiongea katika kikao cha wadau wa usafirishaji jijini Arusha,mbele ya Kamanda wa Kikosi cha usalama barabarani Nchini,(SACP)Futunatus Musilimu, alimshutumu Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani Mkoa wa Arusha ,RTO Joseph Bukombe kuwa amekuwa kinara kwa kuongoza kikosi cha askari kukusanya Rushwa kutoka kwa wasafirishaji .
Amedai kuwa vibanda vya ukaguzi wa mabasi katika eneo la kituo kikuu cha mabasi jijini hapa ,vimegeuka vibanda vya kukusanya Rushwa kwa mabasi mbalimbali yanayoelekea mikoani na fedha hizo huwasilishwa kwa wakubwa .
"Napenda niseme ya Moyoni naona watu wamekuwa waoga kusema ,ukweli ni kwamba suala la Rushwa ni kubwa kwa Trafiki hapa Arusha naomba uchunguze mwenyewe ujionee" Alisema Ben
Aliongeza kuwa hivi karibuni alibambikiwa kesi ya matumizi mabaya ya Silaha ambapo alipigwa na askari wa usalama barabarani na kutupwa selo kituo cha Polisi kwa makosa aliyodai ni ya usalama barabarani.
"Namshukuru RPC alilishughulikia suala langu na bila yeye bila shaka ningekuwa nimefungwa kwa kubambikiwa kesi za uongo kwani si kweli kwamba Mimi nilitishia askari kwa silaha" Alisema .
Alimtuhumu RTO Bukombe kutoa ushirikiano pindi anapopigiwa Simu kwa nia ya kuomba msaada.
Akijibu hoja hizo ,RTO Bukombe Alisema tuhuma zilizoelekezwa kwake hazina ukweli Bali ni chiki zilizolenga kumchafua.
Alisema mabasi ya Kimotco yanaongoza kwa kuvunja sheria za usalama barabarani na pindi anapochukua hatua inaonekana kwamba RTO Bukombe mbaya na kuanza kumchafua kwa kusema askari anawatuma kukusanya Rushwa.
Ends.....View attachment 1145584
Pccb hana meno makali kiivyo ni mpaka mtu mwenye cheo kikubwa aaamuru ndo kitafatiliwa nguvu bado inahitajikaWanan
Wananchi waache kulalamika vichochoroni au kwenye majukwaa peke yake. Kila wilaya ina PCCB kwanini hatoi taarifa huko. Mbona kila siku polisi wala rushwa wanakamatwa a hao PCCB. Ukizoea sana kulalamika huoni hata mabadiliko yaliyo wazi. Huyu jamaa angeripoti PCCB wasingebishana na afande hapo kama tuhuma zake ni za kweli na kama hakuna chuki binafsi
Hilo silikubali. Ushwawhi kwenda kutoa taarifa PCCB kama mwananchi wa kawaida? Mi nshawahi kukutana na situation kwenye kuunganishiwa umeme nikaombwa Rushwa laki moja na nusu. Kwakuwa ni haki yangu na nillishalipia kila kitu sikutaka kuwa mjinga kutoa jasho langu bure. Nikasema ngoja nione nguvu ya hawa jamaa. Nilitoa taarifa saa 4 asubuhi mpaka saa 8 kila kitu kimeisha, jmaa alikamatwa, kesho kutwa yake alipelekwa mahakamani na akapigwa mwaka mmoja jela. Huwezi kuniaminisha kuwa hawa jamaa hawasilikilizi watu wadogo. PCCB ni hatari kaka, usisikilize propaganda humu kwenye mitandao. Nimeshuhudia mwenyewe. Tena Yule Meneja alitaka kuwahonga PCCB wakamwambia watamfungulia kesi nyingine akileta ujinga wake.Pccb hana meno makali kiivyo ni mpaka mtu mwenye cheo kikubwa aaamuru ndo kitafatiliwa nguvu bado inahitajika